Umetoa ufafanuzi mzuri. Na wadau wa michezo wanatakiwa waelewe siyo mara zote timu za Ligi daraja la kwanza zimekuwa ni dhaifu.Timu 2 za daraja la chini zimepanda moja kwa moja - Kengold ya Mbeya na Pamba ya Mwanza.
Timu 2 za Ligi kuu zimeshuka moja kwa moja - Mtibwa ya Morogoro na Geita Gold ya Geita
Hizi playoffs zina lengo la kuongeza ushindani ligi kuu, timu 2 za ligi kuu na moja ya ligi ya chini zinashindana kuwania nafasi mbili za kurudi / kupanda ligi kuu, timu dhaifu inashuka / kurudi ligi ya chini.
ligi kuu vs championship, (kulikua na game 4, i.e kila timu ilicheza home and away ila walizikutanisha timu za ligi kuu na zile za d1)Mwaka jana ilikuaje?
Mbao kwanza ilipanda bila kuwa na sifa (iliokota dodo)Mashujaa kuiondoa mbeya city na pia Ihefu kuiondoa mbao fc