Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Toa asilimia 40 kwa mameneja wote na dancersHizo ni show 17
Mfano akilipwa mil 40 kwa kila show maana yake anapata zaidi ya mil.650
ni pesa nyingi atabaki nayo hata akilipa uongozi wake
Mkuu naomba na ratiba ya Kiba plz[emoji120]
Sijaona kwa sista inlow Uganda why? dmond?
safi kijana anapambana.. vitu kama hivi ndio vinaweza kumfanya mzazi akubali mwanae awe mwanamuziki
Hapendigi Show off.List ya Alikiba iko WAP? WCB Raaaaa