Ratiba ya showz za Diamond Platnumz-2016 wa Salome

Ratiba ya showz za Diamond Platnumz-2016 wa Salome

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
1475925311677.jpg
 
Alafu akinunua nyumba ya mamilioni watu humu wanatokwa na povu pesa anatoa wapi? Au utasikia hana uwezo wa kununua.
Wakati anafamya show zake wanajifanya hawaoni.
 
Hizo ni show 17
Mfano akilipwa mil 40 kwa kila show maana yake anapata zaidi ya mil.650
ni pesa nyingi atabaki nayo hata akilipa uongozi wake
 
nawaona kibakuli family wanapita wamegeuza shingo zao upande..mikono mifukoni...hawawezi sogea hapa
 
hizi ni propaganda usiulize ni nani,saa ngapi ili iweje by FID.Q
 
Tuwekee na ratiba ya mwanadarisalama ili waje na rafiki zao.
 
Namtakia kila la kheri, piga kazi Chibu muhimu kuhesabu noti.

Ni tamu haswa...nasubirkujua kama atawahi ujio wa mwanae na ratiba hizo. Inaelekea wanamtegemea mwishoni kabisa wa mwaka.
 
Back
Top Bottom