Ratiba ya Simba mechi zilizosalia 2021/22, ikiwemo mtanange dhidi ya Yanga

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
Kuna mdau wa Klabu ya Simba, ameweka mtandaoni ratiba hii ya michezo ijayo ya Simba akijumlisha ratiba ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Afrika inayoratibiwa na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF).

⚽Asec Mimosas vs Simba
πŸ“… 20 March 2022
🏟 General Mathieu Kerekou Benin.
⏰ 19hrs

⚽Polisi TZ vs Simba
πŸ“… 27 March 2022
🏟 Ushirika Moshi
⏰ 16hrs

⚽Simba vs Usgn
πŸ“… 03 April 2022
🏟 Benjamin Mkapa
⏰ 16hrs

⚽Coastal Union vs Simba
πŸ“… 07 April 2022
🏟 Mkwakwani Stadium
⏰ 16hrs

⚽Simba vs Pamba (Asfc quater finals)
πŸ“… 08-13 April 2022
🏟 Benjamin Mkapa
⏰ 19hrs

Kama tutabahatika kutinga ΒΌ Fainali kombe la shirikisho Africa

⚽Cafcc quater finals 1st leg
πŸ“… 15-17 April 2022

⚽Cafcc quater finals 2nd leg
πŸ“… 22-24 April

⚽ Yanga vs Simba
πŸ“… 30 April 2022
🏟 Benjamin Mkapa
⏰ 17hrs

⚽Namungo vs Simba
πŸ“… 03 May 2022
🏟 Ilulu Stadium
⏰ 16hrs

Kama tutabahatika kutinga Β½ fainali kombe la shirikisho Africa

⚽Cafcc Semi finals 1st leg
πŸ“… 6-8 May 2022

⚽Cafcc Semi finals 2nd leg
πŸ“… 13-15 May 2022

⚽Simba vs Ruvu Shooting
πŸ“… TBA
🏟 Benjamin Mkapa
⏰ 19hrs

⚽Simba vs Kagera Sugar
πŸ“… TBA
🏟 Benjamin Mkapa
⏰ 19 hrs

⚽ Geita Gold vs Simba
πŸ“… 22 May 2022
🏟 CCM Kirumba Mwanza/Magogo Stadium/ Nyankumbu Stadium. {Watachagua wao uwanja}
⏰ 16hrs

⚽Simba vs KMC
πŸ“… 25 May 2022
🏟 Mkapa Stadium
⏰ 19hrs

Kama tutabahatika kutinga Fainali kombe la shirikisho Africa

⚽Cafcc Finals
πŸ“… 22-29 May 2022

⚽Azam vs Simba
πŸ“… 31 May 2022
🏟 Chamanzi Complex
⏰ 19hrs

⚽Simba vs Mbeya City
πŸ“… 09 June 2022
🏟 Benjamin Mkapa
⏰ 19hrs

⚽ Simba vs Mtibwa Sugar
πŸ“… 12 June 2022
🏟 Benjamin Mkapa
⏰ 19 hrs

⚽TZ Prisons vs Simba
πŸ“… TBA
🏟 Sokoine Stadium
⏰ 16hrs

⚽Mbeya Kwanza vs Simba
πŸ“… 19 June 2022
🏟 Majimaji Stadium
⏰ 16hrs

Mpaka sasa tuna 75 ya kutinga robo fainali, maana tunahitaji point 3, ambazo mara nyingi kwa mkapa hatoki mtu, hivyo game ya yanga itatukuta tushamaliza robo fainali. Tuombe mungu tupate mpinzani wa ΒΌ mchekea, tutoboe, tusifanye kama kwa kaizer chief, tusirudie hayo makosa. Japo naiona timu haina nguvu.
 
Dah! Naona ana mechi nyingi za ugenini, ambako amekuwa akifurukuta kweli kupata matokeo! Mbaya zaidi atapambana na timu zinazo pigania kubakia ligi kuu! πŸ€”

Kwa hali hii Wanamsimbazi tusahau tu kuhusu ubingwa msimu huu.
 
Huku shirikisho kusema kweli nataka kuiona Simba SC ikifika mbali iwezekanavyo sitaki kisingizio chochote, hii sio Klabu Bingwa Afrika
 
Kama Simba ataenda ΒΌ final mechi watani ina kila dalili ya kusogezwa mbele
Sioni sababu ya kusogeza mbele, walioendelea kwenye soka hawana mambo haya. Game ya robo itakuwa tarehe 24, kisha game ya mtani ni tarehe 30, siku takribani 6 hapo.
 
Sioni sababu ya kusogeza mbele, walioendelea kwenye soka hawana mambo haya. Game ya robo itakuwa tarehe 24, kisha game ya mtani ni tarehe 30, siku takribani 6 hapo.
TFF yetu unaijua kwa hizi team inazidekeza acha tuone
 
Huku shirikisho kusema kweli nataka kuiona Simba SC ikifika mbali iwezekanavyo sitaki kisingizio chochote, hii sio Klabu Bingwa Afrika
Simba bado hatujafikia ubora wa simba ya msimu uliopita, mbele magoli yamepungua kidogo, kocha afanyie kazi, alizibe pengo la chama kwa mbinu, tungeluwa na chama kule naimani tungetoboa kule, halaf naona kocha kama hana mbinu vile.
 
Kuna namna huwa anakwama kwenye kutumia rasilimali alizonazo (wachezaji), sitamaani akazuie kwa Mimosa km tulipishana nao kwa mkapa na wakakaa 3, why tukazuie eti kisa kwao!!?
 
Kuna namna huwa anakwama kwenye kutumia rasilimali alizonazo (wachezaji), sitamaani akazuie kwa Mimosa km tulipishana nao kwa mkapa na wakakaa 3, why tukazuie eti kisa kwao!!?
Mie soka la kuzuia huwa silipendi, hata wale wa Niger, tungewapelekea moto vizuri tulikuwa tunawafunga kule kule kwao, leo tungekuwa mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…