Ratiba ya Uchaguzi CHADEMA itatolewa lini? Hatutegemei Mzee Mtei apendekeze jina la Mwenyekiti

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
CHADEMA ni chama cha umma kinachoendeshwa kwa kodi za wananchi.

Ni vema ratiba ya Uchaguzi wa Viongozi wake ikatolewa mapema ili kuepuka undugunization huko mbele ya safari.

Igeni CCM ambako ni marufuku ndugu kubebana.

Wednesday, ubarikiwe sana!
 
Chama tawala na vyama vya upinzani ni tofauti sana.Kwenye upinzani kama cdm mkimpata asiyenunulika km Mbowe Ina bidi kushukuru tu. Chama tawala kazi nyingine waliyo nayo ni kununua wapinzani ili wake madarakani hata bila uhalali wowote.Ndoto zao Mbowe stoke wapate urahisi wa kununua huyo mwingine.
 
Chama tawala na vyama vya upinzani ni tofauti sana.Kwenye upinzani kama cdm mkimpata asiyenunulika km Mbowe Ina bidi kushukuru tu.Chama tawala kazi nyingine waliyo nayo ni kununua wapinzani ili wake madarakani hata bila uhalali wowote.Ndoto zao Mbowe stoke wapate urahisi wa kununua huyo mwingine
Unaozungumzia kununulika kwa namna gani?
 
Bwashee, mwenyekiti angekuwa Molel, Silinde, Katambi, Waitara, Juakali, Nasari na mzee Mdee na wenzake, CDM ingekuwa kama TLP,
Hata wewe usingekuwa unaandika mada zake humu jamvini,
Wanahitajika viongozi wenye msimamo, si wenye njaa,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
CHADEMA ni chama cha umma kinachoendeshwa kwa kodi za wananchi.

Ni vema ratiba ya Uchaguzi wa Viongozi wake ikatolewa mapema ili kuepuka undugunization huko mbele ya safari.

Igeni CCM ambako ni marufuku ndugu kubebana.

Wednesday, ubarikiwe sana!
CCM ni Ile Ile:

Screenshot_20230215-124434~2.jpg
 
Chama tawala na vyama vya upinzani ni tofauti sana.Kwenye upinzani kama cdm mkimpata asiyenunulika km Mbowe Ina bidi kushukuru tu. Chama tawala kazi nyingine waliyo nayo ni kununua wapinzani ili wake madarakani hata bila uhalali wowote.Ndoto zao Mbowe stoke wapate urahisi wa kununua huyo mwingine.
Umenena ukweli mkuu. Mtu kama mbowe mkimpa uraisi cha kwanza ni kuondoa ukomo wa uraisi, wanafamilia wa mzee mtei tunawakabidhi BOT .
 
CHADEMA ni chama cha umma kinachoendeshwa kwa kodi za wananchi.

Ni vema ratiba ya Uchaguzi wa Viongozi wake ikatolewa mapema ili kuepuka undugunization huko mbele ya safari.

Igeni CCM ambako ni marufuku ndugu kubebana.

Wednesday, ubarikiwe sana!
Hivi,mara ya mwisho walipata hela/kodi za wananchi lini?
 
Watakwambia bado wanajenga chama , hiki chama bado kichanga kinazidiwa na ACT wazalendo

USSR
Sasa kwanini kila siku Sukuma gang mnakishambulia hiki chama badala ya kushambulia ACT au Cuf?
 
Back
Top Bottom