Huyu naye ni takataka kama zingine humo CCM! anaandika thread kama 2000 a day! zote tope tupuHuyo nadhani tumchangie $1500 ili akapewe PhD ya mchongo zile za ccm ili naye aitwe Dr johnthebaptist kama mtaalamu wa kuandika thread za kipuuzi kuhusu Chadema na zinawapa raha sana idadi kubwa ya mazuzu kutoka ccm.
Hiki ni kipaji cha aina yake ambacho ni mazuzu wachache wamekifikia.