Huyo nadhani tumchangie $1500 ili akapewe PhD ya mchongo zile za ccm ili naye aitwe Dr
johnthebaptist kama mtaalamu wa kuandika thread za kipuuzi kuhusu Chadema na zinawapa raha sana idadi kubwa ya mazuzu kutoka ccm.
Hiki ni kipaji cha aina yake ambacho ni mazuzu wachache wamekifikia.