Ratiba ya viboko(serious!)

Ratiba ya viboko(serious!)

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Posts
4,768
Reaction score
2,361
Hii imetilewa katika tangazo la serikali,Govt Notice
Baada ya walimu kucharazwa bakora, sasa ratiba ni kama ifuatavyo:
March-April ---Madaktari
April---May ---Wahandisi,wachumi
June ---Wanasheria
July ---Wahasibu
August ---Wanafunzi vyuo vikuu
Septemba ----Wainjilisi
December ----Wachungaji/Paroko/Mashehe
Wanafunzi nje wasiliana na balozi nchi unayosoma.
Mwendo ndio huo mpaka heshima irudi.Mnali karejeshwa wizarani kuratibu utaratibu huu.
NB Usipoliona kundi lako wasiliana haraka na DC aliyekaribu na kituo chako!
 
Hii imetolewa katika tangazo la serikali,Govt Notice.
Baada ya walimu kucharazwa bakora, sasa ratiba ni kama ifuatavyo:
March-April ---Madaktari
April---May ---Wahandisi,wachumi
June ---Wanasheria
July ---Wahasibu
August ---Wanafunzi vyuo vikuu
Septemba ----Wainjilisti
December ----Wachungaji/Paroko/Mashehe
Wanafunzi nje wasiliana na balozi nchi unayosoma.
Mwendo ndio huo mpaka heshima irudi.Mnali karejeshwa wizarani kuratibu utaratibu huu.
NB Usipoliona kundi lako wasiliana haraka na DC aliyekaribu na kituo chako!
 
Hii itakuwa safi sana..

January - viboko kwa mawaziri, manaibu na makatibu wakuu wao

February - Viboko kwa wakuu wa wilaya na mikoa.
 
Hii itakuwa safi sana..

January - viboko kwa mawaziri, manaibu na makatibu wakuu wao

February - Viboko kwa wakuu wa wilaya na mikoa.
..Inanikumbusha enzi za mzee kifimbo cheza na masela street....Might be good start anyway!!!
 
hahahaaaaaaaaaaa... hii ya mwaka;

Wazo langu; Mawaziri wachapwe kila mwezi mpaka watakapokoma kusaidiwa na JK, tukishamaliza hao, itakuwa zamu ya wachapaji nao kutandikwa ikiwa mabadiliko ya kweli hayatafikiwa
 
Du hii kali!!! Sijaona Manesi, ongeza kwenye list. Ni mchakamchaka mpaka discipline irudi. Natamani Idd Amini angekuwepo tumpe tenda!!!
 
Wsema huoni manesi? Wakurugenzi wa halmashauri na wenyeviti wao?, Makatibu kata, tarafa na michango ya mwenge isoisha? Wabunge waendelee kusinzia tu Dom huku wakilipwa kuliko watumishi waaminifu wa uma? Hii ratiba haijakaa sawa.
 
Back
Top Bottom