Dogo acha kutafuta viewersKwa kubonyeza picha hapo chini utaona ratiba nzima ya mechi za Yanga kwenye ligi kuu Tanzania bara.
Ratiba mechi za Yanga Ligi Kuu TPL 2021/2022, Ifuatayo ni Ratiba ya Yanga msimu huu 2021/2022 ,Mechi zote za Yanga msimu wa 2021/2022,Mechi za Yanga leo TPL
Baadaye nitapost Ratiba ya mechi za Simba.
View attachment 1940125
Bado hola.Samahani kwa tatizo.Jaribu kubonyeza video, usiguse.
Yap,sahivi imekaa poa.Rejea upya chapisho hilo, tatizo limeisha mkuu.