Ratiba yako ya kulala na kuamka ikoje?

Ratiba yako ya kulala na kuamka ikoje?

Inasemekana nchi za ulimwengu wa tatu watu wake hutumia mda mwingi kuchapa Usingizi.


Mu'south korea mmoja nilimsikia akinena kwamba kama unalala zaiidi ya masaa matano basi Umasikini kwako kuondoka itachukua mda sana.Masaa matatu yatosha kabisa kwa usingizi (lakini hii inawezakuwa inapingana na wataalamu wa Afya ya binadamu..? )

"Usingizi ndugu yake kifo,Hivyo usipende kulala"bwana Langa aliwahi kusema hivyo.


Ratiba yangu ya kulala mara nyingi huwa 2:05 Usiku,Kuamuka 6:30/7:00 Asbuhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi kulala inategemea siku nyingine nakesha kabisa ila nikilala alarm yangu mpaka huwa naionea huruma maana huwa siisikii inawaamsha majirani tu,Kazini mi ndo mchelewaji niliyekubuhu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom