Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Nalala saa tatu asubuhi naamka saa moja jioni.
Usiniulize nafanya kazi gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiniulize nafanya kazi gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu na wewe jifunze kuandika.
Naunga mkono hojaSina muda maalumu wa kulala ila kuamka ni saa 11.30
Hata username yako inathibisha hiloMi kulala inategemea siku nyingine nakesha kabisa ila nikilala alarm yangu mpaka huwa naionea huruma maana huwa siisikii inawaamsha majirani tu,Kazini mi ndo mchelewaji niliyekubuhu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ukipiga vitu vyako kojo likakubana na haujiwezi si huwa unalibwaga kitandani?Mi nshajijua kulala kwangu ni masaa ma5, na mara nyingi nalala sa7.... ila nikipiga vitu adi sa2 asubuhi(sio siku zote) huwa naamka sa5 asubuhi....
Barmaid[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nalala saa tatu asubuhi naamka saa moja jioni.
Usiniulize nafanya kazi gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hako katakuwa ka pupilHebu na wewe jifunze kuandika.
Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk
Nalala kuanzia saa 7+, naamka kuanzia 11+
Usiku wote unaamka kwenda wapi?
HahahahaUsiku wote unaamka kwenda wapi?
Inawezekana una mgahawa ubungo unawahi kupikia wasafiri
Sent using Jamii Forums mobile app