Hii hali imenikuta pia na hapa wazo nililonalo ni kuleta vifusi tu vijaze maana hata nikichimba shimo la Choo bado kifusi hakitotosha, kwangu kuna Kuna Mteremko kidogo ambao tofali za upande wa chini zimefika Kozi kumi na mbili.
Vifusi havikwepeki
Hongera MkandarasiUmefikia wapi kwenye ujenzi?
Wikiendi imefika na mzigo wa Mbao upo wa kutosha. Tazama mifano ya shughuli za ujenzi zinavyoendelea site kwa mbao imara.
Wasiliana nasi kwa mahitaji ya mbao size zote.
Simu: 0782425190.
View attachment 2130814View attachment 2130815View attachment 2130817View attachment 2130816
Hizi mbao haziko treated,Umefikia wapi kwenye ujenzi?
Wikiendi imefika na mzigo wa Mbao upo wa kutosha. Tazama mifano ya shughuli za ujenzi zinavyoendelea site kwa mbao imara.
Wasiliana nasi kwa mahitaji ya mbao size zote.
Simu: 0782425190.
View attachment 2130814View attachment 2130815View attachment 2130817View attachment 2130816
Mkuu mbao zote izo Treated uwez kuwezekea mbao ambayo sio TreatedHizi mbao haziko treated,
Sio hasara hii wadudu watapoanza kushambulia kweli?
Mafundi wakibongo ata uwe umefanya nao kazi mia lazima ushinde nao ili kazi iende vizuri. Ukiblink tuu naona wanasepa na cementUnashinda nao kwa sababu huwaamini au unataka kujua yanayoendelea?
Fundi amekupa tamthmini yaMchakato umefikia hapa, najikusanya kwa ajili ya pesa ya mbao na bati kwa ajili ya kupaua....
Mapambano yanaendelea...
Ni kajumba ka vyumba 3... Master 1.. Sitting, Dining, jiko, public toilet, na min store...View attachment 2131961View attachment 2131962
Hapo kwa haraka harakaFundi amekupa tamthmini ya
bati ngapi,
Mbao ngapi (4*2 na 2*2),
Misumari ya bati kg ngapi?
Misumari ya kenchi kg ngapi?
Maana'ke na mimi nipo kwenye hatua kama yako mkuu.
Ahsante sana mkuu.Hapo kwa haraka haraka
Bati 90 mpaka 100
Mbao 4*2 = pc 200
2*2= pc 150
Misumari bati = kg 25
Misumari kechi kg 20
Hili ni tatizo kubwaMafundi wakibongo ata uwe umefanya nao kazi mia lazima ushinde nao ili kazi iende vizuri. Ukiblink tuu naona wanasepa na cement
Mchakato umefikia hapa, najikusanya kwa ajili ya pesa ya mbao na bati kwa ajili ya kupaua....
Mapambano yanaendelea...
Ni kajumba ka vyumba 3... Master 1.. Sitting, Dining, jiko, public toilet, na min store...View attachment 2131961View attachment 2131962
Tabata Kinyerezi hiyo.. Ndiyo Site Location....
Kabisa nakwambia..kwanza Mafundi wengi wa kinongo sio conscientious kabisa ikija suala la kazi. Yaani wao ni wanawaza kumaliza tuu na malipo.Hili ni tatizo kubwa
Kabisa nakwambia..kwanza Mafundi wengi wa kinongo sio conscientious kabisa ikija suala la kazi. Yaani wao ni wanawaza kumaliza tuu na malipo.
Kama unataka mjengo wako utoke vyema kila siku kabla ya kazi kufanyika wewe mwenyewe kwanza jaribu kutabiri changamoto gani itajitokeza na uwe na clear picture ya kitu gani unataka. Wenzio hawa hawana ile kufikri
Hongera Sana ndugu. Hatua kubwa Sana hiyoMchakato umefikia hapa, najikusanya kwa ajili ya pesa ya mbao na bati kwa ajili ya kupaua....
Mapambano yanaendelea...
Ni kajumba ka vyumba 3... Master 1.. Sitting, Dining, jiko, public toilet, na min store...View attachment 2131961View attachment 2131962
Asante sana Chief.. Tuko pamojaHongera Sana ndugu. Hatua kubwa Sana hiyo
Angalia breakdown hapa... Hii ni estimate ya Fundi tulifanya naye...Fundi amekupa tamthmini ya
bati ngapi,
Mbao ngapi (4*2 na 2*2),
Misumari ya bati kg ngapi?
Misumari ya kenchi kg ngapi?
Maana'ke na mimi nipo kwenye hatua kama yako mkuu.