Ratiba yako ya kwenda 'Site' ni ipi?

Ratiba yako ya kwenda 'Site' ni ipi?

Hii hali imenikuta pia na hapa wazo nililonalo ni kuleta vifusi tu vijaze maana hata nikichimba shimo la Choo bado kifusi hakitotosha, kwangu kuna Kuna Mteremko kidogo ambao tofali za upande wa chini zimefika Kozi kumi na mbili.

Vifusi havikwepeki

Dah!
 
Umefikia wapi kwenye ujenzi?

Wikiendi imefika na mzigo wa Mbao upo wa kutosha. Tazama mifano ya shughuli za ujenzi zinavyoendelea site kwa mbao imara.

Wasiliana nasi kwa mahitaji ya mbao size zote.

Simu: 0782425190.

IMG-20220225-WA0028.jpg
IMG-20220225-WA0030.jpg
IMG-20220225-WA0031.jpg
IMG-20220225-WA0029.jpg
 
Mchakato umefikia hapa, najikusanya kwa ajili ya pesa ya mbao na bati kwa ajili ya kupaua....

Mapambano yanaendelea...

Ni kajumba ka vyumba 3... Master 1.. Sitting, Dining, jiko, public toilet, na min store...View attachment 2131961View attachment 2131962
Fundi amekupa tamthmini ya
bati ngapi,
Mbao ngapi (4*2 na 2*2),
Misumari ya bati kg ngapi?
Misumari ya kenchi kg ngapi?

Maana'ke na mimi nipo kwenye hatua kama yako mkuu.
 
Fundi amekupa tamthmini ya
bati ngapi,
Mbao ngapi (4*2 na 2*2),
Misumari ya bati kg ngapi?
Misumari ya kenchi kg ngapi?

Maana'ke na mimi nipo kwenye hatua kama yako mkuu.
Hapo kwa haraka haraka

Bati 90 mpaka 100
Mbao 4*2 = pc 200
2*2= pc 150
Misumari bati = kg 25
Misumari kechi kg 20
 
Hapo kwa haraka haraka

Bati 90 mpaka 100
Mbao 4*2 = pc 200
2*2= pc 150
Misumari bati = kg 25
Misumari kechi kg 20
Ahsante sana mkuu.
Unaweza kunisaidia tathmini ya labour charge ya hiyo kazi kwa uzoefu wako?
 
Mchakato umefikia hapa, najikusanya kwa ajili ya pesa ya mbao na bati kwa ajili ya kupaua....

Mapambano yanaendelea...

Ni kajumba ka vyumba 3... Master 1.. Sitting, Dining, jiko, public toilet, na min store...View attachment 2131961View attachment 2131962

Hongera sana mkuu. Umejitahidi mno.

Sawa ukiwa tayari wasiliana nasi tukuuzie mbao, tutakusafirishia mzigo wako hadi site BURE kama upo ndani ya Dar es Salaam.

Jenga Nasi. Mbao Tanzania.
 
Hili ni tatizo kubwa
Kabisa nakwambia..kwanza Mafundi wengi wa kinongo sio conscientious kabisa ikija suala la kazi. Yaani wao ni wanawaza kumaliza tuu na malipo.

Kama unataka mjengo wako utoke vyema kila siku kabla ya kazi kufanyika wewe mwenyewe kwanza jaribu kutabiri changamoto gani itajitokeza na uwe na clear picture ya kitu gani unataka. Wenzio hawa hawana ile kufikri
 
Ni kweli kabisa. Kwa bahati mbaya watu wengi huchukua mafundi wa mtaani kwa sababu ya unafuu wa gharama. Mafundi wa mtaani hawafanyi kazi kwa miiko wala taaluma. Hayo hayaepukiki.
 
Back
Top Bottom