Ratiba yako ya kwenda 'Site' ni ipi?

Ujenzi bwana unatakiwa uwe benet na mafundi michael...unaweza kuta jamaa kafunga geti la gereji linafungilia ndani ndipo utakapo choka
Usifanye nikalia mkuu mafundi maiko walinicheza Shere kweye ujenzi wa banda la kuku sutamani hata kumuachia fundi sekunde awe pekeyake
 
Mie nilichoka siku fundi welder atengeneze mlamgo wa garage...sii jioni nakuta mlamgo unafungukia kwa ndani....sasa namuuliza hilo gari likishapaki nafungaje? Anabaki kutumbua mimacho tu. Ata kazi iwe ndogo vipi hawa mafundi wee tulia nao hapo hapo.
 
Sio mafundi tu, hata baadhi ya wauzaji wa mbao wana tabia zisizofaa. Ni bora kuwaanika na kushauriana juu ya kukabiliana nao.

Mfano wengi wanaiba idadi na sizes za mbao kwa kumlaghai mteja. Haipendezi.

Sisi tunajitahidi kufanya biashara kwa weledi na uwazi. Tunaruhusu mteja kuja na fundi wake na futi yake akitaka.
 
Karibu nile_house_designs kwa huduma za michoro, boq na ushauri.

Call/WhatsApp 0715477041

Pia waweza pitia hii link kuona baadhi ya kazi zetu.

Hongera kwa hatua uliyofikia mkuu.nami Niko hatua hiyo pia.

Naomba kujua hiyo bati uliyopigia hesabu Ni company gan na geji ngapi.?
Blessings
Nimepanga kuchukua Alaf.. Na ni bati tunaziita "Msouth" Hahahahaaa.. Hizi za migongo mikubwa. Hesabu yangu nilipigia hapo. But naweza kuchukua kampuni yoyote itakayonifaa.
 
Chukua alaf au sunshare! Hizo kampuni nyingne utaleta uzi humu
 
Nimepanga kuchukua Alaf.. Na ni bati tunaziita "Msouth" Hahahahaaa.. Hizi za migongo mikubwa. Hesabu yangu nilipigia hapo. But naweza kuchukua kampuni yoyote itakayonifaa.
Asante..kila la kheri
 
Nimepanga kuchukua Alaf.. Na ni bati tunaziita "Msouth" Hahahahaaa.. Hizi za migongo mikubwa. Hesabu yangu nilipigia hapo. But naweza kuchukua kampuni yoyote itakayonifaa.
Ikifika hatua ya mbao tupo apa tunakuletea mbao zako mpka Site kwako kokote pale mzigo wako unakufikia.
 
Mie nilichoka siku fundi welder atengeneze mlamgo wa garage...sii jioni nakuta mlamgo unafungukia kwa ndani....sasa namuuliza hilo gari likishapaki nafungaje? Anabaki kutumbua mimacho tu. Ata kazi iwe ndogo vipi hawa mafundi wee tulia nao hapo hapo.
Hahahaaaaa yaani wana vitimbi haooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…