Kapumpuli
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,040
- 2,674
Hakika nitawatafuta... Niko Dar hii hii...Hongera sana mkuu. Umejitahidi mno.
Sawa ukiwa tayari wasiliana nasi tukuuzie mbao, tutakusafirishia mzigo wako hadi site BURE kama upo ndani ya Dar es Salaam.
Jenga Nasi. Mbao Tanzania.