Nmecheka sanaMie nilichoka siku fundi welder atengeneze mlamgo wa garage...sii jioni nakuta mlamgo unafungukia kwa ndani....sasa namuuliza hilo gari likishapaki nafungaje? Anabaki kutumbua mimacho tu. Ata kazi iwe ndogo vipi hawa mafundi wee tulia nao hapo hapo.
Wapuuzi sana hawa mafundi michael...kutiana hasara tuu
Nmecheka maana ndio kazi zangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]welderWapuuzi sana hawa mafundi michael...kutiana hasara tuu
Isije kuwa ndio weye bwana unachomelea geti linafungukia kwa ndaniNmecheka maana ndio kazi zangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]welder
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu wangu.Isije kuwa ndio weye bwana unachomelea geti linafungukia kwa ndani
Safi ..dirisha la mita mbili kwa mbili mnafanya bei gan?
Inategemea na urembo ila inaanzia 160k na kuendelea mkuu.Safi ..dirisha la mita mbili kwa mbili mnafanya bei gan?
Ukifikia hatua ya bati nicheki nikupe Offa zetu naamini utaziweza maana bei ni za kiwandani na ubora safi kabisaMchakato umefikia hapa, najikusanya kwa ajili ya pesa ya mbao na bati kwa ajili ya kupaua....
Mapambano yanaendelea...
Ni kajumba ka vyumba 3... Master 1.. Sitting, Dining, jiko, public toilet, na min store...View attachment 2131961View attachment 2131962
Nicheki kwa bati mkuu tuongee kwa bei za kiwandani kabisaaFundi amekupa tamthmini ya
bati ngapi,
Mbao ngapi (4*2 na 2*2),
Misumari ya bati kg ngapi?
Misumari ya kenchi kg ngapi?
Maana'ke na mimi nipo kwenye hatua kama yako mkuu.
Karibu kwa migongo mipana boss Offa zetu tunaweza kuongea zaidi ila Bei ni ya kiwandani 0755732369Nimepanga kuchukua Alaf.. Na ni bati tunaziita "Msouth" Hahahahaaa.. Hizi za migongo mikubwa. Hesabu yangu nilipigia hapo. But naweza kuchukua kampuni yoyote itakayonifaa.
Sunshare ina upekee gani maana bei za Bati zao ni kama ziko juu ya alafChukua alaf au sunshare! Hizo kampuni nyingne utaleta uzi humu
Sunshare ina upekee gani maana bei za Bati zao ni kama ziko juu ya alaf
Alaf kwa ubola wapo juu kuliko viwanda vingne apa nchin??Product zao ni bora kma alaf! Wanawazid alaf management tu ila ubora upo sawa kwa mtazamo wng
Alaf kwa ubola wapo juu kuliko viwanda vingne apa nchin??
Weka bei ya kupiga plasta ndani, chumba cha futi 11 kwa 11.Urembo Wa nyumba na Plasta ya Kiwango
Dirisha Tsh 35,000
Kona Tsh 35,000
Nguzo Tsh 40,000
Mlango Tsh 30,000
Dining (Arch) 80,000
Arch ya nje Tsh 20,000
Skating nzima Tsh 2,000,00
Nipigie kwa No 0789005562
naomba RETWEET iwafikie wengi
Https//Wa.me//255789005562View attachment 2159926
Tsh elfu 60Weka bei ya kupiga plasta ndani, chumba cha futi 11 kwa 11.
IRINGAAAAAA.....Mikonoooo juu!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Weka bei ya kupiga plasta ndani, chumba cha futi 11 kwa 11.
Upo kama mimi hakuna kifaa kinachohusu ujenzi wanyumba sina naweza kusema 95% ya vifaa ninavyoMimi kabla sijajenga nilinunua Kirikuu ambayo imenisaidia sana kama kupeleka mafundi site, kununua mwenyewe material kama cement nk. Nasimamia ujenzi mwanzo mwisho na wakimaliza jioni nawabeba nawarudisha, hakuna aliyeniibia, zaidi sana mimi nina uelewa wa ufundi hadi ratio za cement nilikuwa nawaelekeza.
Sikuchukua mafundi expensive ila hawa hawa wadogo nilikuwa nawaelekeza navyotaka mimi na sio ushauri wao. Mjengo umeisha na ninaishi himo na familia yangu, kazi nyingi za finishing kama water system, sanitation kama jikoni kuweka marble, kufunga WC (water closet) kupiga gypsm na skimming pamoja na Painting nimefanya mwenyewe!
Nilikuwa nafanya hivi, nikimwita fundi site na nikiona ana gharama kubwa labda kutokana na kazi inahitaji vifaa basi mimi nanunua vifaa hivyo nafanya mwenyewe kazi ikiisha napata faida ya vifaa. MFANO fundi bomba akija anataja gharama yake anaweza kusema kila kupiga thread joint moja ni 500, basi nikanunua Die za bomba pamoja na Vice pamoja na pipe wrench kazi ikiisha vinabaki kuwa vyangu.
Fundi wa mageti nkaona gharama zake ni kubwa anasema kutengeneza geti ni 450,000 basi mimi nanua mashine ya welding ya 280,000 na material za 150,000 nafanya mwenyewe kwa vile naweza kuthubutu, hivyo nimebaki na mashine ya welding na geti nikalishona mwenyewe, hadi sasa nina mashine nyingi za kazi nafanya mwenyewe kurekebisha nyumba pale linapotokea tatizo kwa vile vitendea kazi ninavyo.
Hivi mkidanganya mnapata faida gani??? Kwanini mnakuwa waongo hivyo? Hamuoni aibu kudanganya public?Vizuri sana mkuu, sababu kubwa namba 1 inayosababisha tuwatumie mafundi ni ukosaji wa vitendea kazi Vifaa.
Zamani nilikua nikiona meza inacheza cheza namwita fundi anakuja na nyundo na misumari mfukoni anagonga mara mbili tatu Anaondoka na 5000 na 2000 la piki piki hapo nishatumia.
nikaaanzaga kama utani nikanunua nyundo, taratbu nikaja misumeno, mdogo mdogo nikaja na Tape Measure, maraa paap sasa hivi namiliki store yenye vifaaa visivyopungua 5m Vifaa tupu.
Welding machine zipo,Nyundo masururu,mavifaa yote ya Ujenzi ninayo huwa fundi anapokuja kufanya kazi kwangu sharti langu ni 1.
Aingie kwangu akiwa Empty Hand Sitaki kumuona na kibegi wala kipochi, aje na akili yake tu, Tunaingia store namuuliza anataka kifaa gani nampa anatumia anafanyia kazi akimaliza mazaga yangu ananiachia.
Hapa nipo nadunduliza nichukue mashine la kufyatulia matofali na paving..
Kuna faida nyingi sana kuwa na vifaa vyako ambapo faida ya kwanza kubwa inayonifanya kila senti niipatayo nisiache kununua kifaa chochote ni Hela ninazokodishia haya mavitu, Mafundi wakishajua una mashine ya kitu flani nzuriiii wao wenyewe wanakuja kuzikodisha wakafanyie kazi. Visent vya vocha havikosekani.