Ratiba yako ya kwenda 'Site' ni ipi?

Ratiba yako ya kwenda 'Site' ni ipi?

Mchakato umefikia hapa, najikusanya kwa ajili ya pesa ya mbao na bati kwa ajili ya kupaua....

Mapambano yanaendelea...

Ni kajumba ka vyumba 3... Master 1.. Sitting, Dining, jiko, public toilet, na min store...View attachment 2131961View attachment 2131962
Ukifikia hatua ya bati nicheki nikupe Offa zetu naamini utaziweza maana bei ni za kiwandani na ubora safi kabisa
 
Fundi amekupa tamthmini ya
bati ngapi,
Mbao ngapi (4*2 na 2*2),
Misumari ya bati kg ngapi?
Misumari ya kenchi kg ngapi?

Maana'ke na mimi nipo kwenye hatua kama yako mkuu.
Nicheki kwa bati mkuu tuongee kwa bei za kiwandani kabisaa
0755732369
 
Nimepanga kuchukua Alaf.. Na ni bati tunaziita "Msouth" Hahahahaaa.. Hizi za migongo mikubwa. Hesabu yangu nilipigia hapo. But naweza kuchukua kampuni yoyote itakayonifaa.
Karibu kwa migongo mipana boss Offa zetu tunaweza kuongea zaidi ila Bei ni ya kiwandani 0755732369
Paalako Co LTD
IMG-20220314-WA0005.jpg
 
Urembo Wa nyumba na Plasta ya Kiwango

Dirisha Tsh 35,000

Kona Tsh 35,000

Nguzo Tsh 40,000

Mlango Tsh 30,000

Dining (Arch) 80,000

Arch ya nje Tsh 20,000

Skating nzima Tsh 2,000,00

Nipigie kwa No 0789005562

naomba RETWEET iwafikie wengi

Https//Wa.me//255789005562
FB_IMG_1647840796155.jpg
 
Urembo Wa nyumba na Plasta ya Kiwango

Dirisha Tsh 35,000

Kona Tsh 35,000

Nguzo Tsh 40,000

Mlango Tsh 30,000

Dining (Arch) 80,000

Arch ya nje Tsh 20,000

Skating nzima Tsh 2,000,00

Nipigie kwa No 0789005562

naomba RETWEET iwafikie wengi

Https//Wa.me//255789005562View attachment 2159926
Weka bei ya kupiga plasta ndani, chumba cha futi 11 kwa 11.
 
Weka bei ya kupiga plasta ndani, chumba cha futi 11 kwa 11.
IRINGAAAAAA.....Mikonoooo juu!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ladies and Gentleman

Kijana wenu nipo IRINGA MJINI kwa kazi maalumu...

Nicheki kwa offer zetu zinaendelea...Mdau Wa IRINGA NA MAENEO YA JIRANI

Dirisha Tsh 40,000

Kona Tsh 30,000

Nguzo Tsh 40,000

Mlango Tsh 35,000

Dining (Arch) 100,000

Arch ya nje Tsh 25000

Skating nzima Tsh 200,000

Tuna punguzo kubwa kwenye skiming na rangi

Nipigie kwa namba 0789005562

Au njoo wasap kwa link hii [emoji116][emoji116][emoji116]

Https//Wa.me//255789005562

Punguzo kubwa kwenye skimming ....Mikoani tunafika
 
Mimi kabla sijajenga nilinunua Kirikuu ambayo imenisaidia sana kama kupeleka mafundi site, kununua mwenyewe material kama cement nk. Nasimamia ujenzi mwanzo mwisho na wakimaliza jioni nawabeba nawarudisha, hakuna aliyeniibia, zaidi sana mimi nina uelewa wa ufundi hadi ratio za cement nilikuwa nawaelekeza.

Sikuchukua mafundi expensive ila hawa hawa wadogo nilikuwa nawaelekeza navyotaka mimi na sio ushauri wao. Mjengo umeisha na ninaishi himo na familia yangu, kazi nyingi za finishing kama water system, sanitation kama jikoni kuweka marble, kufunga WC (water closet) kupiga gypsm na skimming pamoja na Painting nimefanya mwenyewe!

Nilikuwa nafanya hivi, nikimwita fundi site na nikiona ana gharama kubwa labda kutokana na kazi inahitaji vifaa basi mimi nanunua vifaa hivyo nafanya mwenyewe kazi ikiisha napata faida ya vifaa. MFANO fundi bomba akija anataja gharama yake anaweza kusema kila kupiga thread joint moja ni 500, basi nikanunua Die za bomba pamoja na Vice pamoja na pipe wrench kazi ikiisha vinabaki kuwa vyangu.

Fundi wa mageti nkaona gharama zake ni kubwa anasema kutengeneza geti ni 450,000 basi mimi nanua mashine ya welding ya 280,000 na material za 150,000 nafanya mwenyewe kwa vile naweza kuthubutu, hivyo nimebaki na mashine ya welding na geti nikalishona mwenyewe, hadi sasa nina mashine nyingi za kazi nafanya mwenyewe kurekebisha nyumba pale linapotokea tatizo kwa vile vitendea kazi ninavyo.
Upo kama mimi hakuna kifaa kinachohusu ujenzi wanyumba sina naweza kusema 95% ya vifaa ninavyo
 
Vizuri sana mkuu, sababu kubwa namba 1 inayosababisha tuwatumie mafundi ni ukosaji wa vitendea kazi Vifaa.

Zamani nilikua nikiona meza inacheza cheza namwita fundi anakuja na nyundo na misumari mfukoni anagonga mara mbili tatu Anaondoka na 5000 na 2000 la piki piki hapo nishatumia.

nikaaanzaga kama utani nikanunua nyundo, taratbu nikaja misumeno, mdogo mdogo nikaja na Tape Measure, maraa paap sasa hivi namiliki store yenye vifaaa visivyopungua 5m Vifaa tupu.

Welding machine zipo,Nyundo masururu,mavifaa yote ya Ujenzi ninayo huwa fundi anapokuja kufanya kazi kwangu sharti langu ni 1.

Aingie kwangu akiwa Empty Hand Sitaki kumuona na kibegi wala kipochi, aje na akili yake tu, Tunaingia store namuuliza anataka kifaa gani nampa anatumia anafanyia kazi akimaliza mazaga yangu ananiachia.

Hapa nipo nadunduliza nichukue mashine la kufyatulia matofali na paving..

Kuna faida nyingi sana kuwa na vifaa vyako ambapo faida ya kwanza kubwa inayonifanya kila senti niipatayo nisiache kununua kifaa chochote ni Hela ninazokodishia haya mavitu, Mafundi wakishajua una mashine ya kitu flani nzuriiii wao wenyewe wanakuja kuzikodisha wakafanyie kazi. Visent vya vocha havikosekani.
Hivi mkidanganya mnapata faida gani??? Kwanini mnakuwa waongo hivyo? Hamuoni aibu kudanganya public?
 
Back
Top Bottom