Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,646
- 5,606
Asante sana2×4 futi 750
2×2 futi 400
Ndo tulivyomanishaa apo mkuu karibu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana2×4 futi 750
2×2 futi 400
Ndo tulivyomanishaa apo mkuu karibu sana
Wasiliana nasi kwa namba hii 0782 425190 karibu snaAsante sana
InshaAllah tuombe uzima na afyaView attachment 1969088
Hii post imefanya nikaone nilipo achia, imenifanya kuwaza kupaua mwezi huu tukijaaliwa uzima na mkwanja
Naamini tutajaaliwa, shukrani kwako pia umenikumbusha kwenda kuangalia hukoInshaAllah tuombe uzima na afya
Allah akufnyie wepes InshaAllahNaamini tutajaaliwa, shukrani kwako pia umenikumbusha kwenda kuangalia huko
Nimecheka kama mazuri kwamba anakusaidia kujenga ama kishauzwa ivoNimeenda site nakuta mtu anaanza kujenga kiwanja changu
Ulichukua huamuzi gan mkuu kukuta ivyNimeenda site nakuta mtu anaanza kujenga kiwanja changu
Hii ngekewa ilinidondokea kwenye Mabati, Nikajisemea kweli Mtembea Bure si sawa na mkaa bure...Raha ni kuwa benet benet na mafundi, hii inasaidia mnoo, kuna gharama nyingi saana unaweza punguza, nilikuwa site mwenyewe, nilipata baadhi ya vitu kwa bei rahisi zaidi, mfano alikuja mtu ana shida akaniuzia matofali kwa 600, idadi ya yalikuwa matofali zaidi ya 1000.. Halafu yalikuwa pua na mdomo.
Pole sana mdau. Mliyamalizaje? [emoji3][emoji3]Nimeenda site nakuta mtu anaanza kujenga kiwanja changu
Pole na hongera sana mdau. Kwenye kupaua ulikutana na changamoto gani?Daah nilitoka Site weekend iliyopita sina hata Hamu. Niko kwenye hatua ya kufanya scheming. Makadirio ya fundi alinipa kama mifuko 18 ya JK wall putty, Mpaka kazi inaisha nilitumia mara mbili ya hapo!!. Na hii ni kuschim ndani tu nyumba ya vyumba vitatu!
Duh! Wewe kama mimi tu..ila tu tofauti ni kwamba mimi ni fundi kamili,sikuhitaji kumuita fundi yeyote,mi nikipata hela ya tiles nachukua dukani nakuja kugonga n.kMimi kabla sijajenga nilinunua Kirikuu ambayo imenisaidia sana kama kupeleka mafundi site, kununua mwenyewe material kama cement nk. Nasimamia ujenzi mwanzo mwisho na wakimaliza jioni nawabeba nawarudisha...
Vizuri sana mkuu, sababu kubwa namba 1 inayosababisha tuwatumie mafundi ni ukosaji wa vitendea kazi Vifaa.hivyo nimebaki na mashine ya welding na geti nikalishona mwenyewe, hadi sasa nina mashine nyingi za kazi nafanya mwenyewe kurekebisha nyumba pale linapotokea tatizo kwa vile vitendea kazi ninavyo.
Hongera sana mkuuVizuri sana mkuu, sababu kubwa namba 1 inayosababisha tuwatumie mafundi ni ukosaji wa vitendea kazi Vifaa.
Zamani nilikua nikiona meza inacheza cheza namwita fundi anakuja na nyundo na misumari mfukoni anagonga mara mbili tatu Anaondoka na 5000 na 2000 la piki piki hapo nishatumia...
Wewe kila ufundi unaufaham???au mm ndo cjaelewaMimi kabla sijajenga nilinunua Kirikuu ambayo imenisaidia sana kama kupeleka mafundi site, kununua mwenyewe material kama cement nk. Nasimamia ujenzi mwanzo mwisho na wakimaliza jioni nawabeba nawarudisha, hakuna aliyeniibia...
Duuuuu!! Mwenzetu naona kila ufundi unaufahamu hongera sanaMimi kabla sijajenga nilinunua Kirikuu ambayo imenisaidia sana kama kupeleka mafundi site, kununua mwenyewe material kama cement nk. Nasimamia ujenzi mwanzo mwisho na wakimaliza jioni nawabeba nawarudisha, hakuna aliyeniibia, zaidi sana mimi nina uelewa wa ufundi hadi ratio za cement nilikuwa nawaelekeza...