Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Mkuu unajifanya kazi zote unadumaza uchumi, tugawane riziki.Vizuri sana mkuu, sababu kubwa namba 1 inayosababisha tuwatumie mafundi ni ukosaji wa vitendea kazi Vifaa.
Zamani nilikua nikiona meza inacheza cheza namwita fundi anakuja na nyundo na misumari mfukoni anagonga mara mbili tatu Anaondoka na 5000 na 2000 la piki piki hapo nishatumia...
By the way Kuna molding za pavers za kichina zenye maumbo mbalimbali.
Naona kama ni nzuri