Ratiba yangu ya leo kwenda kuangalia meli Ferry (unemployed).

Ratiba yangu ya leo kwenda kuangalia meli Ferry (unemployed).

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
3,635
Reaction score
5,012
Hello leo nitakuwa pale posta/ferry naangalia meli na pantoni zikipita ni pale pembeni ya kituo kidogo cha polisi kivukoni ukija unaweza kuniona...musio na mishe ya maana wenzangu hapa town tunaweza ungana nitakula Azam ukwaju, karanga then baadae nitatembea kuangalia mji kidogo na kupanda gari kurejea Home.
 
Uzi wako ni kama comed vile ila kuna ujumbe wa masikitiko sana ndani ya maandishi yako.TUNA NGUVU NA ELIMU ILA HATUNA AJIRA
Hello leo nitakuwa pale posta/ferry naangalia meri na pantoni zikipita...musio na mishe ya maana wenzangu hapa town tunaweza ungana nitakula Azam ukwaju, karanga then baadae nitatembea kuangalia mji kidogo na kupanda gari kurejea Home.
 
Hello leo nitakuwa pale posta/ferry naangalia meri na pantoni zikipita ni pale pembeni ya kituo kidogo cha polisi kivukoni ukija unaweza kuniona...musio na mishe ya maana wenzangu hapa town tunaweza ungana nitakula Azam ukwaju, karanga then baadae nitatembea kuangalia mji kidogo na kupanda gari kurejea Home.
Ucjali mkuu, tutakuwa pamoja pale.

Unforgetable
 
Hello leo nitakuwa pale posta/ferry naangalia meri na pantoni zikipita ni pale pembeni ya kituo kidogo cha polisi kivukoni ukija unaweza kuniona...musio na mishe ya maana wenzangu hapa town tunaweza ungana nitakula Azam ukwaju, karanga then baadae nitatembea kuangalia mji kidogo na kupanda gari kurejea Home.
Hako kasimu Kako ungekauza hata kwa elfu 20 ungepata mtaji wa kununua karanga za kukaanga au tray ya mayai ukachemsha ukaanza kuuza ukaondokana na u jobless wa kwenda kushangaa Meli ferry.
 
Hako kasimu Kako ungekauza hata kwa elfu 20 ungepata mtaji wa kununua karanga za kukaanga au tray ya mayai ukachemsha ukaanza kuuza ukaondokana na u jobless wa kwenda kushangaa Meli ferry.
Hata kua jobless sometimes husaidia....utakuja pata mlejesho baadae...si laima auze karanga au mayai...kama yeye anaona ananufaika japo tu kwa kuangalia mazingira ipo siku atapata wazo zuri kuhusu hayo hayo mazingira...ila kikubwa fanya kitu unapenda si mazingira au watu wakuforce kukifanya....over
 
Hako kasimu Kako ungekauza hata kwa elfu 20 ungepata mtaji wa kununua karanga za kukaanga au tray ya mayai ukachemsha ukaanza kuuza ukaondokana na u jobless wa kwenda kushangaa Meli ferry.

😂 😂 mkuu umeuliza pesa ya nauri, ya azam ukwaju na ya karanga na karanga nimeitoa wapi...nina uwezo wa kwenda kilasiku kushangaa meli na pesa inaingia.
 
Si umesema wewe jobless hiyo pesa inaingia? Unasoma chuo ungepata mkopo bodi ya mkopo?

Mkuu siwezi kuuza mayai sina shida kihasi icho ikifikia point iyo nitauza kimsingi naingiza pesa vizuri tu hata nikilala insignia hata nikienda ferry kilasiku inaingia tu na inakuwa siku hadi siku.
 
[emoji23] [emoji23] mkuu umeuliza pesa ya nauri, ya azam ukwaju na ya karanga na karanga nimeitoa wapi...nina uwezo wa kwenda kilasiku kushangaa meli na pesa inaingia.
Kama pesa inaingia huwezi kujiita unemployed.
** Nauri = Nauli
 
Whatever anakula wapi ili mladi hayupo stressed wala forced nakaambia time will tell ilimradi tu anafanya japo sahihi kwake na ambalo haliendi kinyume na sheria za Jamhuri...
Mkuu wewe na mtoa mada ni mapacha?
 
Back
Top Bottom