Ratiba yangu ya leo kwenda kuangalia meli Ferry (unemployed).

Hello leo nitakuwa pale posta/ferry naangalia meri na pantoni zikipita ni pale pembeni ya kituo kidogo cha polisi kivukoni ukija unaweza kuniona...musio na mishe ya maana wenzangu hapa town tunaweza ungana nitakula Azam ukwaju, karanga then baadae nitatembea kuangalia mji kidogo na kupanda gari kurejea Home.
safi, ila ukichoka vuka njoo hadi kibada kuna ujenzi wa barabara sisi tuko hapa tunacheki namna skaveta vinavyofumua fumua miti na magugu.... siku inasogea mkuu.
 
Kukaa hapo karibu na kituo cha polisi huwa wanafukuza!
 
safi, ila ukichoka vuka njoo hadi kibada kuna ujenzi wa barabara sisi tuko hapa tunacheki namna skaveta vinavyofumua fumua miti na magugu.... siku inasogea mkuu.

Kuna mmoja yupo kule Buguruni darajani anaangalia magari yanavyopita akichoka anageuza Home.
 
Hello leo nitakuwa pale posta/ferry naangalia meri na pantoni zikipita ni pale pembeni ya kituo kidogo cha polisi kivukoni ukija unaweza kuniona...musio na mishe ya maana wenzangu hapa town tunaweza ungana nitakula Azam ukwaju, karanga then baadae nitatembea kuangalia mji kidogo na kupanda gari kurejea Home.
Inasaidia kuliko kukaa mahali pamoja,mawazo ni yale yale,ni rahisi kupata msongo wa mawazo.Nilifanya sana hiyo misele kabla sijaajiriwa,Ferry,viwanja vya mnazi mmoja,madukani kuulizia bei na kutoka n.k...
 
Anamiliki simu ya 200k analafu anajiita jobless, njoo nikupe kazi ya kupikia wanafunzi wangu chakula hapa shuleni.
 
Unajiita jobless wakati hata spelling za maneno zinakushinda, unanyota ya maji chumvi. Bahari rafiki yako!
 
Man relax kila kitu na wakati wake.. Tumia muda huu huna ajira kusoma mazingira na fursa za biashara na masoko yake. Siku yako ikifika ujue unaanza vipi nawe kutengeneza ajira.
Relax.. Take a long exhalation Good things are on it's way coming to you
 
Ile project yenu ya kujiorganize mfungue car wash imefikia wapi mkuu?
Wazo bovu lile mkuu.. ingekula kwao!
Bora wangekua marafiki au watu wanaofahamiana. Wazo lilikua zuri ila Approach Mbaya
 
safi, ila ukichoka vuka njoo hadi kibada kuna ujenzi wa barabara sisi tuko hapa tunacheki namna skaveta vinavyofumua fumua miti na magugu.... siku inasogea mkuu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaa
 
Aisee huwezi aminj miaka mitani nyuma nilikuwa nafanya hivyo, natoka zangu kinyerezi nakuja ferry nakaa nikiangalia Meli na Panton, then napenda Beach ya Magogoni na pumzika kidogo halafu narudi kinyerezi. It was a very terrible experience, but it came to pass, so yours shall come to pass too.
 
Hako kasimu Kako ungekauza hata kwa elfu 20 ungepata mtaji wa kununua karanga za kukaanga au tray ya mayai ukachemsha ukaanza kuuza ukaondokana na u jobless wa kwenda kushangaa Meli ferry.
Sasa wewe kulipwa buku 7 Lumumba ili ushinde JF umajihesanu na wewe kwamba una ajira?
 
Back
Top Bottom