goggles
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,415
- 2,358
Mara-MusomaMeri=Meli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara-MusomaMeri=Meli
Kama pesa inaingia huwezi kujiita unemployed.
** Nauri = Nauli
safi, ila ukichoka vuka njoo hadi kibada kuna ujenzi wa barabara sisi tuko hapa tunacheki namna skaveta vinavyofumua fumua miti na magugu.... siku inasogea mkuu.Hello leo nitakuwa pale posta/ferry naangalia meri na pantoni zikipita ni pale pembeni ya kituo kidogo cha polisi kivukoni ukija unaweza kuniona...musio na mishe ya maana wenzangu hapa town tunaweza ungana nitakula Azam ukwaju, karanga then baadae nitatembea kuangalia mji kidogo na kupanda gari kurejea Home.
Kukaa hapo karibu na kituo cha polisi huwa wanafukuza!Hello leo nitakuwa pale posta/ferry naangalia meri na pantoni zikipita ni pale pembeni ya kituo kidogo cha polisi kivukoni ukija unaweza kuniona...musio na mishe ya maana wenzangu hapa town tunaweza ungana nitakula Azam ukwaju, karanga then baadae nitatembea kuangalia mji kidogo na kupanda gari kurejea Home.
safi, ila ukichoka vuka njoo hadi kibada kuna ujenzi wa barabara sisi tuko hapa tunacheki namna skaveta vinavyofumua fumua miti na magugu.... siku inasogea mkuu.
Inasaidia kuliko kukaa mahali pamoja,mawazo ni yale yale,ni rahisi kupata msongo wa mawazo.Nilifanya sana hiyo misele kabla sijaajiriwa,Ferry,viwanja vya mnazi mmoja,madukani kuulizia bei na kutoka n.k...Hello leo nitakuwa pale posta/ferry naangalia meri na pantoni zikipita ni pale pembeni ya kituo kidogo cha polisi kivukoni ukija unaweza kuniona...musio na mishe ya maana wenzangu hapa town tunaweza ungana nitakula Azam ukwaju, karanga then baadae nitatembea kuangalia mji kidogo na kupanda gari kurejea Home.
Kwa kuvutia bangi! au sioNi eneo tulivu sana
Wazo bovu lile mkuu.. ingekula kwao!Ile project yenu ya kujiorganize mfungue car wash imefikia wapi mkuu?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaasafi, ila ukichoka vuka njoo hadi kibada kuna ujenzi wa barabara sisi tuko hapa tunacheki namna skaveta vinavyofumua fumua miti na magugu.... siku inasogea mkuu.
Hako kasimu Kako ungekauza hata kwa elfu 20 ungepata mtaji wa kununua karanga za kukaanga au tray ya mayai ukachemsha ukaanza kuuza ukaondokana na u jobless wa kwenda kushangaa Meli ferry.
Ile project yenu ya kujiorganize mfungue car wash imefikia wapi mkuu?
Tutatajiana rangi za nguo maana ndio nachagua kabatini [emoji23] [emoji23]Mkuu mida gani utakuwa hapo tujumuike na nitakujuaje? Mimi pia nna ratiba hiyo.
Sasa wewe kulipwa buku 7 Lumumba ili ushinde JF umajihesanu na wewe kwamba una ajira?Hako kasimu Kako ungekauza hata kwa elfu 20 ungepata mtaji wa kununua karanga za kukaanga au tray ya mayai ukachemsha ukaanza kuuza ukaondokana na u jobless wa kwenda kushangaa Meli ferry.
Kama elimu ya tz ipo hivyo, basi hatuna haja ya kuajiriwa.
Jamaa hata kuandika "meli" kashindwa.