October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Meri=MeliHello leo nitakuwa pale posta/ferry naangalia meri na pantoni zikipita...musio na mishe ya maana wenzangu hapa town tunaweza ungana nitakula Azam ukwaju, karanga then baadae nitatembea kuangalia mji kidogo na kupanda gari kurejea Home.
Hello leo nitakuwa pale posta/ferry naangalia meri na pantoni zikipita...musio na mishe ya maana wenzangu hapa town tunaweza ungana nitakula Azam ukwaju, karanga then baadae nitatembea kuangalia mji kidogo na kupanda gari kurejea Home.
Ucjali mkuu, tutakuwa pamoja pale.Hello leo nitakuwa pale posta/ferry naangalia meri na pantoni zikipita ni pale pembeni ya kituo kidogo cha polisi kivukoni ukija unaweza kuniona...musio na mishe ya maana wenzangu hapa town tunaweza ungana nitakula Azam ukwaju, karanga then baadae nitatembea kuangalia mji kidogo na kupanda gari kurejea Home.
Hako kasimu Kako ungekauza hata kwa elfu 20 ungepata mtaji wa kununua karanga za kukaanga au tray ya mayai ukachemsha ukaanza kuuza ukaondokana na u jobless wa kwenda kushangaa Meli ferry.Hello leo nitakuwa pale posta/ferry naangalia meri na pantoni zikipita ni pale pembeni ya kituo kidogo cha polisi kivukoni ukija unaweza kuniona...musio na mishe ya maana wenzangu hapa town tunaweza ungana nitakula Azam ukwaju, karanga then baadae nitatembea kuangalia mji kidogo na kupanda gari kurejea Home.
Kama elimu ya tz ipo hivyo, basi hatuna haja ya kuajiriwa.Uzi wako ni kama comed vile ila kuna ujumbe wa masikitiko sana ndani ya maandishi yako.TUNA NGUVU NA ELIMU ILA HATUNA AJIRA
Hata kua jobless sometimes husaidia....utakuja pata mlejesho baadae...si laima auze karanga au mayai...kama yeye anaona ananufaika japo tu kwa kuangalia mazingira ipo siku atapata wazo zuri kuhusu hayo hayo mazingira...ila kikubwa fanya kitu unapenda si mazingira au watu wakuforce kukifanya....overHako kasimu Kako ungekauza hata kwa elfu 20 ungepata mtaji wa kununua karanga za kukaanga au tray ya mayai ukachemsha ukaanza kuuza ukaondokana na u jobless wa kwenda kushangaa Meli ferry.
Hako kasimu Kako ungekauza hata kwa elfu 20 ungepata mtaji wa kununua karanga za kukaanga au tray ya mayai ukachemsha ukaanza kuuza ukaondokana na u jobless wa kwenda kushangaa Meli ferry.
Kama elimu ya tz ipo hivyo, basi hatuna haja ya kuajiriwa.
Jamaa hata kuandika "meli" kashindwa.
Uko sahihi kama Kula na kulala unakula kwako.Lakini kama Kula kulala kwa Mtu kuwa forced lazima kama unaonekana umebwetekafanya kitu unapenda si mazingira au watu wakuforce kukifanya....over
Si umesema wewe jobless hiyo pesa inaingia? Unasoma chuo ungepata mkopo bodi ya mkopo?😂 😂 mkuu umeuliza pesa ya nauri, ya azam ukwaju na ya karanga no me up at all wapi...nina uwezo wa kwenda kilasiku kushangaa meli na pesa inaingia.
Uko sahihi kama Kula na kulala unakula kwako.Lakini kama Kula kulala kwa Mtu kuwa forced lazima kama unaonekana umebweteka
Si umesema wewe jobless hiyo pesa inaingia? Unasoma chuo ungepata mkopo bodi ya mkopo?
Kama pesa inaingia huwezi kujiita unemployed.[emoji23] [emoji23] mkuu umeuliza pesa ya nauri, ya azam ukwaju na ya karanga na karanga nimeitoa wapi...nina uwezo wa kwenda kilasiku kushangaa meli na pesa inaingia.
Mkuu wewe na mtoa mada ni mapacha?Whatever anakula wapi ili mladi hayupo stressed wala forced nakaambia time will tell ilimradi tu anafanya japo sahihi kwake na ambalo haliendi kinyume na sheria za Jamhuri...