Ninakiri kuwa sizifahamu kwa kuwa nilishaacha kusikiliza vipindi vya michezo kwa kuwa vimejaa wachambuzi kanjanja wa michongo tu.
Kuna niliokuwa nawa follow insta wote nime wa unfollow.
Angalau hapa ni sehemu pekee ambayo kila siku ni lazima niitembelee.