Ratiba za kombe la mapinduzi zitolewe hapa jf pia

Ratiba za kombe la mapinduzi zitolewe hapa jf pia

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Ninakiri kuwa sizifahamu kwa kuwa nilishaacha kusikiliza vipindi vya michezo kwa kuwa vimejaa wachambuzi kanjanja wa michongo tu.

Kuna niliokuwa nawa follow insta wote nime wa unfollow.

Angalau hapa ni sehemu pekee ambayo kila siku ni lazima niitembelee.
 
View attachment 2068578
Screenshot_20220104-201109_Chrome.jpg
 
Kwa hiyo hamna mshindi wa tatu? Asa utopolo wataondoka na nini?
 
Back
Top Bottom