C Cashman JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 3,017 Reaction score 5,294 Jan 4, 2022 #1 Ninakiri kuwa sizifahamu kwa kuwa nilishaacha kusikiliza vipindi vya michezo kwa kuwa vimejaa wachambuzi kanjanja wa michongo tu. Kuna niliokuwa nawa follow insta wote nime wa unfollow. Angalau hapa ni sehemu pekee ambayo kila siku ni lazima niitembelee.
Ninakiri kuwa sizifahamu kwa kuwa nilishaacha kusikiliza vipindi vya michezo kwa kuwa vimejaa wachambuzi kanjanja wa michongo tu. Kuna niliokuwa nawa follow insta wote nime wa unfollow. Angalau hapa ni sehemu pekee ambayo kila siku ni lazima niitembelee.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Jan 4, 2022 #2 Za hapa utaziamini?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 4, 2022 #3 Ngoja tuone...
mzee wa bwaksi JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 2,255 Reaction score 3,972 Jan 4, 2022 #4 View attachment 2068578
mzee wa bwaksi JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 2,255 Reaction score 3,972 Jan 4, 2022 #5 Ratiba iyo hapo
C Cashman JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 3,017 Reaction score 5,294 Jan 9, 2022 Thread starter #6 Asante mkuu
Vawulence JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 1,930 Reaction score 2,118 Jan 9, 2022 #7 Kwa hiyo hamna mshindi wa tatu? Asa utopolo wataondoka na nini?
changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,039 Reaction score 10,151 Jan 9, 2022 #8 Isaac said: Kwa hiyo hamna mshindi wa tatu? Asa utopolo wataondoka na nini? Click to expand... Kwani mashindano ya mwaka jana wakund wa msimbazi walipata nini?
Isaac said: Kwa hiyo hamna mshindi wa tatu? Asa utopolo wataondoka na nini? Click to expand... Kwani mashindano ya mwaka jana wakund wa msimbazi walipata nini?
Vawulence JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 1,930 Reaction score 2,118 Jan 10, 2022 #9 changaule said: Kwani mashindano ya mwaka jana wakund wa msimbazi walipata nini? Click to expand... Mla ni mla leo. Mla jana kala nini?
changaule said: Kwani mashindano ya mwaka jana wakund wa msimbazi walipata nini? Click to expand... Mla ni mla leo. Mla jana kala nini?