GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Acha Ujinga ( Uzozola ) Wewe sawa? Hakuna ambaye leo hafi tena wote Watakufa vibaya na hutoamini.Kuna wale wa kijani wanaweza kutoboa!
Shauri yako! Yanga anatoa 1-1Acha Ujinga ( Uzozola ) Wewe sawa? Hakuna ambaye leo hafi tena wote Watakufa vibaya na hutoamini.
Nimecheka hadi basi Mkuu. Hivi umewaza nini hadi Kuandika hivi? Nimecheka sana.Kuna maiti moja inaweza kung'an'ania muoshaji. Mortuary attendant naye awe makini mafriji yanaweza kuvuniwa na likatokea varangati kuu
Bangi uliyonunua leo una uhakika ilikuwa imekomaa kabisa tayari kwa matumizi ya Binadamu?Shauri yako! Yanga anatoa 1-1
Just wait and see!Bangi uliyonunua leo una uhakika ilikuwa imekomaa kabisa tayari kwa matumizi ya Binadamu?
Watapigws Kofi Moja SubiriWale wa ZA wanajiamini sana,wanajiona wanawamudu Ubuntu Botho...ngoja tuone!
Kwanza umeukweka? isijekuwa umeandika huku unaharaka mkweko unakusumbua.Marehemu wa Kwanza atazikiwa Pretoria Afrika Kusini Saa 5 Kamili za Usiku na Marehemu mwingine atazikwa Cairo Misri Saa 7 Kamili za Usiku.
Poleni sana Wafiwa wote kwa hii Misiba Miwili ya Wapendwa wetu hawa Kulwa na Dotto.
Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa Jina lake Lihimidiwe.
Amen.
Nimecheka mno Mkuu. Eti nimeukweka / nimekunya Kwanza?Kwanza umeukweka? isijekuwa umeandika huku unaharaka mkweko unakusumbua.
πΈHawa hawaTowards the semi final....!ππ
Ee wewe si ulituambia kuukweka ndo ku defecate?Nimecheka mno Mkuu. Eti nimeukweka / nimekunya Kwanza?