Ratiba za Misiba Miwili ya Leo ni kama ifuatavyo...

Ratiba za Misiba Miwili ya Leo ni kama ifuatavyo...

Ee wewe si ulituambia kuukweka ndo ku defecate?
Ndiyo maana yake Mkuu. GENTAMYCINE ndiyo Mtunzi na Mbunifu wa maneno Popoma ( Pumbavu ), Mbunye ( Papa au K ), Kuukweka ( Kunya ) na hili jipya la Leo la Uzozola ( Mjinga ) ambalo nalo nina uhakika sasa hivi litaanza Kupendwa na Kutumika hapa JamiiForums.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Sawa mkuu, kwahiyo nikikuita mzee wa kuukweka, ama bwana mkweko ni fresh tu.
 
Marehemu wa Kwanza atazikiwa Pretoria Afrika Kusini Saa 5 Kamili za Usiku na Marehemu mwingine atazikwa Cairo Misri Saa 7 Kamili za Usiku.

Poleni sana Wafiwa wote kwa hii Misiba Miwili ya Wapendwa wetu hawa Kulwa na Dotto.

Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa Jina lake Lihimidiwe.

Amen.
We kolo, tunza hii. Ila nakukumbusha tu, usije ukaja kuukana uzi wako..!! Maana siku hizi una kawaida ya kusema umedukuliwa, hasa mambo yakienda tofauti na matarajio yako. Msiba leo ni mmoja tu na marehemu yupo huko Cairo Misri..!! Mtachagua kama mnazika uarabuni au mnasafirisha ili mzike Kariakoo sokoni.

CC Kalpana
Mshana Jr
cocastic
 
Marehemu wa Kwanza atazikiwa Pretoria Afrika Kusini Saa 5 Kamili za Usiku na Marehemu mwingine atazikwa Cairo Misri Saa 7 Kamili za Usiku.

Poleni sana Wafiwa wote kwa hii Misiba Miwili ya Wapendwa wetu hawa Kulwa na Dotto.

Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa Jina lake Lihimidiwe.

Amen.
kamati ya mazishi imeamua Masandawana akazikiwe kwao, na Farao nae akazikiwe kule kule kwao Cairo 🐒

tuombeane kheri kwenye hilo jambo zito sana kwetu sote 🐒
 
Msiba ni mmoja mgonjwa aliepelekwa South hali yake ni mbaya sana hakuna namna anaweza kupona ndugu wa mgonjwa mahututi wanajipa moyo labda mgonjwa anaweza kupiga chafya lakini wataalam wameshajua mgonjwa yupo hatua za mwisho za kukata roho
 
Kuna maiti moja inaweza kung'an'ania muoshaji. Mortuary attendant naye awe makini mafriji yanaweza kuvunjwa na likatokea varangati kuu
 
Attachments

  • IMG-20240324-WA0001.jpg
    IMG-20240324-WA0001.jpg
    56.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom