Ratiba za Misiba Miwili ya Leo ni kama ifuatavyo...

Ee wewe si ulituambia kuukweka ndo ku defecate?
Ndiyo maana yake Mkuu. GENTAMYCINE ndiyo Mtunzi na Mbunifu wa maneno Popoma ( Pumbavu ), Mbunye ( Papa au K ), Kuukweka ( Kunya ) na hili jipya la Leo la Uzozola ( Mjinga ) ambalo nalo nina uhakika sasa hivi litaanza Kupendwa na Kutumika hapa JamiiForums.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Sawa mkuu, kwahiyo nikikuita mzee wa kuukweka, ama bwana mkweko ni fresh tu.
 
We kolo, tunza hii. Ila nakukumbusha tu, usije ukaja kuukana uzi wako..!! Maana siku hizi una kawaida ya kusema umedukuliwa, hasa mambo yakienda tofauti na matarajio yako. Msiba leo ni mmoja tu na marehemu yupo huko Cairo Misri..!! Mtachagua kama mnazika uarabuni au mnasafirisha ili mzike Kariakoo sokoni.

CC Kalpana
Mshana Jr
cocastic
 
kamati ya mazishi imeamua Masandawana akazikiwe kwao, na Farao nae akazikiwe kule kule kwao Cairo 🐒

tuombeane kheri kwenye hilo jambo zito sana kwetu sote 🐒
 
Msiba ni mmoja mgonjwa aliepelekwa South hali yake ni mbaya sana hakuna namna anaweza kupona ndugu wa mgonjwa mahututi wanajipa moyo labda mgonjwa anaweza kupiga chafya lakini wataalam wameshajua mgonjwa yupo hatua za mwisho za kukata roho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…