Ratiba za wanaume wa Dar

Ratiba za wanaume wa Dar

Hizi fikira zingine sidhani Kama Ni sahihi....!
 
Mkuu kwanza unatakiwa uelewe kuna utofauti mkubwa saana kati ya maisha ya dar na mkoani.
Kuanzia kiutamaduni, kiuchumi, na mengineyo mengi

Huwezi kutaka maisha ya dar yafanane na ya mkoani hilo haliweezekani...

Diet ya dar kwa kiasi kikubwa inatofautiana na mkoani kwanza kwa bei na pia upatikanaji wake.

Kwa maisha ya dar linapokuja swala LA bajet ya chakula linaathiliwa kwa kiasi kikubwa na cost za mambo mengine (hapa nazungumzia watu wenye kipato cha chini na cha kati) walio wengi.

From there ndio maaana unakuta MTU asubuh anakunywa chai na vipande viwili vya mhogo Wa kukaangwa anashiba na maisha yanaendelea.

Sio kwa sababu anapenda ila ndio hali ya maisha. Pengine kwa cost Hiyo Hiyo angekuwa mkoani angeweza kununua vipande vya magimbi vitano huko mkoani

Hivvyo hivvyo pia watu Wa dar linapokuja swala LA kula na kuvaa....wanathamini saana kuvaa plus other simple luxuries kuliko kula. Sikatai kwamba Haata mkoani watu hawavai vizuri ila kwa dar sijui tumerogwa Nini ila mavazi (nguo na Viatu hapa kwenye allocation ya budget nguvu kubwa huwa kwenye hvyo vitu..

Swala LA kazi au majukumu yanayotumia nguvu. Ukiacha wachache wanafanya kazi ngumu mf. Za ujenz, kubeba mizigo n.k wengi Wa watu Wa dar hawana kazi ngumu saana zinazohitaji heavy diet. Hivvyo mtu usishangae anakunywa chai na soseji na chapat moja then he feel okey...
Ukitaka kubaini hili ona jinsi watu Wa dar walivyo na vitambi hewa...ona jinsi wadada wanavyohangaika kutafuta Dawa za kupnguza mwili...

Huko mkoani hali ni tofaut kabisaa ukiacha maeneo ya mjini kuna watu wanafanya kazi balaa....nliwahi kupita maeneo ya Mwanza geita pia kagera nliona jinsi wanawake wanavyoendesha baiskeli tena wamepakia mizigo mikubwa hali kadhalika wanaume hapa lazima diet zitofautiane kabisa

Dar hatutembei mwendo mrefu, mwendo Wa mita 400 unapanda gari ukitembea lazima ujishtukie mwenyewe

Linapokuja swala LA matumizi ya extra time kwa dar sio swala LA ajabu MTU kushinda ndani tuu weekend nzima kucheki movies akiamua kutoka Basi kaenda beach, mliman CTY cinema,bar club mkoani huko Mara chache saana MTU anakosa kazi au kitu cha kufanya....mapumziko ndio wakat wakwenda kutembelea mashamb,SIJUI KUKAgua Nini....


Upatikanaj Wa msosi mkoani huko hayo magimbi sijui viazi na kadharika mnajisevia tuu kiwango mtakacho mahindi mabichi maembe sijui maparachi msimu ukifika mnakula kadri mnavyoweza

Dar hivvyo vitu kwanza ni kama anasa...havipatikani, Vikipatikana bei yakke dah pia ubora wake sio kama vikiwa huko mkoani


Anyway hayo yote yanaonyesha tofauti za mfumo ndio zinazo sababisha tofauti za ulaji na kazi ulizozitaja hapo....

Kwa kiasi Fulani hiwezi kuwalaumu watu Wa dar ila mfumo Wa maiisha ya dar ndio unaowalazimisha

Linapokuja swala LA nguvu za kiume haimaanishi watu wote Wa dar hawana nguvu za kiume au Wa mkoani wote wananguvu za kiume.
Kuna sababu nyingi zinazosababisha upungufu Wa nguvu...

Linapokuja swala LA kuibiwa halina formula Wala usikariri....watoto Wa town wanawaiba saana watoto Wa mkoani saana tuu watu Wa dar wanashobokewa saana na watoto mkoan sijui tuseme Hamna nguvu.
Umejitahidi sana kujitetea baby... Binafsi nakuaminia... Hawa wa mkoani wanawaonea gere...
 
Back
Top Bottom