"Rationality" ya wapiga kura Tanzania inashangaza

"Rationality" ya wapiga kura Tanzania inashangaza

mafutamingi

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
2,775
Reaction score
2,198
Hivi karibuni katika mazungumzo yangu na marafiki zangu ambao ni watumishi wa umma niliwauliza kuhusu mtazamo wao kuhusu mambo yafuatayo ndani ya muktadha wa kampeni za uchaguzi mkuu. Mambo hayo ni

(a) Umuhimu wa katiba mpya
(b) Maslahi ya watumishi wa umma. Jamaa hao wote walikiri kwamba katiba mpya ni muhimu na kwamba wanatamani maslahi yao ikiwamo yaboreshwe.

Pamoja na kwamba mgombea urais anayeyasemea masuala haya ni Tundu Lissu pekee, lakini jamaa hawa walisema kwamba watu watampigia kura JPM! Hapo ndo nikajua rationality ya wapiga kura, hata waliosoma na ufahamu kama hawa washikaji zangu.

Haiko issue based!
 
Wewe ni kajinga kadogo na utumbo wako eti "katiba mpya ni muhimu, maslahi ya watumishi ni muhimu" afu kura watampigia Naniiii... Peleka huko hao marafiki zako watakuwq watumishi wa CCM sio umma
 
Choice ya sample yako and size yenyewe inakupeleka kwenye biased result. Embu jaribu random sample na ongeza idadi ya watu alafu uje kutupa mrejesho
 
Back
Top Bottom