Rav 4 new model vs Vanguard

Mkuu hizi tairi Bongo zinapatikana?
 
Kati ya RAV 4 NEW model na VANGUARD ipi Iko;
A) imara zaidi
B) economic katika fuel consumption
Simply rav 4 ni mama vanguard ni mtoto...vanguard ni muendelezo wa rav 4 so imefanywa Kua mayai zaidi
 
Simply rav 4 ni mama vanguard ni mtoto...vanguard ni muendelezo wa rav 4 so imefanywa Kua mayai zaidi

Mnatoaga wapi hizi habari mnazoongea kwa uhakika hivi?? Acha fix bwana. Vanguard sio toleo mayai la Rav 4, zina ubora sawa tu. Na tofauti kubwa ni chasis, vanguard ni ndefu (ina nafasi zaidi?. Ilipotoka vanguard hawakusitisha rav 4 ila kwa sasa vanguard sizioni tena ila Rav 4 ziko mpaka za miaka hii.
 
Umeniquote vibaya...nimesema vanguard ni toleo jipya kutoka kwa rav 4 new model..ni series ile ile yan zikitoka rav 4 Ndio zinakuja vanguard...kma huamini mlango wa nyuma wa rav4 new model unainingiliana Na wa vanguard kabisa mzee
 
Mhhh hhh mhh.. Hatari hii..!
Vanguard ni Rav4 ndefu na sio mwendelezo wa Rav4..!
Rav4 bado zinatengenezwa..!
Hapan boss...yan ni kma vile tuchukue land cruiser lc series...imetoka imetoka lc -200 saiv tupo lc-300 ndio kma iyo case imetoka rav4 new model imekuja vanguard...lakin Wote chimbuko lako ni muendelezo wa rav4
 
Umeniquote vibaya...nimesema vanguard ni toleo jipya kutoka kwa rav 4 new model..ni series ile ile yan zikitoka rav 4 Ndio zinakuja vanguard...kma huamini mlango wa nyuma wa rav4 new model unainingiliana Na wa vanguard kabisa mzee
Aisee utakuwa unazichanganya hizo gari..!
Mlango wa nyuma wa Vanguard unafunga kwenye hii 👆🏾Rav4!!!?
 
Hapan boss...yan ni kma vile tuchukue land cruiser lc series...imetoka imetoka lc -200 saiv tupo lc-300 ndio kma iyo case imetoka rav4 new model imekuja vanguard...lakin Wote chimbuko lako ni muendelezo wa rav4

Sio kweli na jifunze kidogo usiendelee kubishana. Rav 4 ACA models ndo zilitoka pamoja na Vanguard. Ni model zinazofanana kasoro urefu tu wa chasis na taa za mbele. Rav 4 zinatoka mpaka leo na kama kuna mtu anajua kama vanguard ziliendelea kutoka baada ya zile model za 2011-13 atatujuza
 
Usipoelewa sehemu Kua free kuuliza bro
 
Aisee utakuwa unazichanganya hizo gari..! View attachment 2258016
Mlango wa nyuma wa Vanguard unafunga kwenye hii [emoji1483]Rav4!!!?
Bro iyo vanguard ya mwaka gan?...vanguard nayoongelea mm mlango wake unafunguka sideways asee....mm nimeshuudia kuna jamaa alinunua vanguard akabadilisha mlango wa nyuma wa vanguard Na wa rav4 kwa7bu vanguard yake ilikua haina taili kwa nyuma....Na rav4 zinatoa iyo option
 
Na mrithi wa generation ya rav4 baada ya vanguard Ndio inakuja kluger series
 
Usipoelewa sehemu Kua free kuuliza broView attachment 2258182

Unaelewa lakini walichoandika hapo au bado unabishana tu. Kimsingi hiyo ni Rav 4 ya toleo la tatu ila yenyewe ina chasis ndefu kuliko hiyo Rav 4. Walipotoa Rav 4 toleo la 3 ndo wakatoa na Vanguard. Sasa asiyeelewa hapo ni nani? Vanguard sio muendelezo wa Rav 4 na wala haijaendelea baada ya hapo ila Rav iliendelea. Hapo unafanishwa na kluger kwenye suala la urefu tu
 
Rush haipo huko ni mwendelezo wa Toyota cami...vanguard ni dada wa rav4
 
Bro namashaka Na uelewa wako asee....kwan mtu akikuambia ameboresha kitu ww unamuelewaje??? Sibur nikupe shule....unavyosema vanguard inachasis ndefu iyo ni moja ya marekebisho waliyotoa kwenye model ya rav4 the aim apo ni kuifanya gari iwe Na space kubwa Na Ndio maan vanguard inampka 7seats ukilinganisha Na rav4 bro...vanguard ipo more luxurious ukicompare Na rav4 Na ilo Ndio lengo la maboresho asee....
 
Vanguard ni rav4 miss tanzania iliyochangamka, (rav4 longbase version)
 
Aisee ndio maana nasema kuna vitu unachanganya.. Hiyo kwenye picha sio Vanguard.. Ni Rav4 new model..
Kwa maelezo yako umesema mlango wa nyuma wa Vanguard unafunga kwenye Rav4 new model.. Sasa ndio nimekuuliza Vanguard gani ina mlango wa nyuma kama huo wa Rav4 new model..!!!
 
Miss tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…