Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,475
- 5,290
Mkuu hizi tairi Bongo zinapatikana?Vanguard ilitengenezwa mahsusi kwa ajili ya soko la Ulaya na Marekani. Kule magari mengi sana hasa haya yanayotoka siku hizi hayana spare tire kwa sababu matairi yao mengi ni Run flat tires, yaani ni zile tre ambazo ziko either enhanced kiasi kwamba hata ikitokea umepata burst or puncture unaweza kuendelea na safari kwa umbali wa karibu na Km 80, wakiassume hapo lazima utakuwa umeshafika sehemu ya kuweza kulishughulikia tairi lako. Hiyo ndio sababu.
Picha za run flat tires jinsi zilivyowezeshwa.
View attachment 520125 View attachment 520126 View attachment 520127