KndNo1
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 627
- 2,049
Sasa hiyo sio Rav4 new model..!
Hiyo inafanana na Vanguard, ila sio Vanguard..wala Vanguard sio muendelezo wake..!
Gari kuchangia spare parts ni kitu common..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hiyo sio Rav4 new model..!
Basi ukunielewa logically uko sawa lakin kibongo bongo ukisema rav4 new model mtu unajua direct ni miss tz....ukisema harrier new model mtu anarefer tako la nyani japo in real sense kuna harrier latest mpka ya 2020 uko...ambazo watu hawazitumii uku tzSasa hiyo sio Rav4 new model..!
Hiyo inafanana na Vanguard, ila sio Vanguard..wala Vanguard sio muendelezo wake..!
Gari kuchangia spare parts ni kitu common..!
Mwenye kujua bamper la shaba kwa Rav 4 2011 linacost kiasi gani anijuze.