Kumbuka Rav4 sio imara kwenye rough road kuzidi Suzuki's...kama nia yako ni kuendesha muda mwingi offroad sikushauri rav4 badala yake fikiria Suzuki escudo that one is best kwenye barabara zetu zenye portholes nyingi...kuhusu issue ya kubadilisha injini zingatia sana unaweza kudhani una save kumbe ndio unaharibu kama alivyokushauri mdau hapo juu...kwenye mechanics kuna kanuni iitwayo power to weight ratio ambayo ina determine uzito wa gari na CC/ukubwa wa injini wa gari husika hiyo PW ina kanuni yake ya ukokotozi kutoka kwenye Newton's Second Law of motion kama hukukimbia physics ambapo thrust per unit mass huzidishwa kwa velocity ili kukokotoa kani mwendo na uzania wa gari lengo likiwa kupata uhalisia wa wear and tear ya hilo gari linapokuwa kwenye mwendo....sasa kulivisha hilo Rav4 injini ya cc 1300/5 ni sawa na kumvalisha mtoto wa kindergarten kombati za jeshi...kitachotokea kwa huyo dogo unakijua.
Kama unataka really gari yenye CC ndogo 4WD na imara hakuna namna utaikwepa Suzuki Jimny,Daihatsu Terios kid,Daihatsu Be-Go,Suzuki SX4,Nissan Juke,Mitsubishi Pajero Mini,Mitsubishi Pajero jr tena hii ipo version ya hadi 1997 huko roho ya chuma haka ka komando rambo kanaitwa,kuna Jeep Compass hizi ni off road mashines na zipo hadi CC 1500 wewe tu,kuna Nissan Qashqai CC 1200 hizo zote hapo ni imara ushindwe wewe tu ila hiyo Rav 4 ukiipigisha kwenye mashimo mawili tu itagonga tege sugu moja la hatari na ukivalisha injini ndogo ndo utakuwa mteja wetu wa kila mara