Mkuu niwe naijua gari ,mpya au siijuie hilo siyo lengo la hii thread niliyoanzisha wewe kama unajibu la nilichoomba toa.Hayo mengine yanatoka wapi,si kila muda uchangie hujui kaa kimya.Gari liwe jipya au bovu shida yangu siyo upya au ubovu.Unajua solution ya tatizo toa,hujua nyamaza .
Sitakuwa na muda wa kukujibu tena naamini umenielewa,kuwa makini usiwe unasema vitu usivyo na uhakika navyo mimi sikujui na wewe hunijui.Unadhani umejificha lakini kwa taarifa yako unaonekana uko peupe so learn to behave online.Gari ni used from Japan,haya nisaidie kama unaufahamu na usilete solution za kugoogle online hizo ninazo nahitaji watu wenye experience na hii issue.
Wabongo tuna vioja,jifunze kunyamaza ndugu yangu,na umpokee Yesu akubadilishe.Lugha zako siyo nzuri,ladba yako uliyoagiza ikiwa na sero kilometer tuambie mwenzetu mwenye uwezo.Wenzio wameelewa wamenyamaza kimya,wanaojua wameniambia cha kufanya.Mungu akusaidie badilika for the better.I am not the kind of a person you think I am,I am not of this world of yours however I am here for a reason.I have a mission to accomplish,thus I have no time for people who behave as you have done.I am running out of time,I value every sec of my time on this planet.[/QUOTE
Umemjibu vizuri sanaa jamaa lakini umekosea sehemu moja tu " mpokee Yesu" kwani anakuja kutoka wapi? au alikuwa safari?......mwacheni yesu apumzike jamani