Rav 4 old model VS Harrier old model, ipi ni chaguo sahihi

zhang laoshi

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
434
Reaction score
581
wakuu kama title inavyosema, ipi hapo ni gari nzur ya kuchukua, maana now bei hazitofautiani sn, hata cc rav 4 ni 1990, wakati Harrier ni 2150.
wenye ujuzi na uzoefu wa hiz gari kwa barabara na hali ya hewa ya TZ , anipe ushauri juu ya hili.
asanten
 
Sijui hasa unataka nini kwenye gari. Ila kama muonekane, Harrier inaonekana vizuri. Zote ni ngumu. Harrier ni comfortable zaidi ya Rav. Japo kwa sababu ni kubwa, hiyo engine yake huwa inaifanya iwe nzito kidogo kuchanganya ukiwa safari.

That Rav is too old man. Ukiangalia kwenye dashboard ni kama ya Kirikuu. Japo watu wanasema ni ngumu, ila hapa. Zimezeeka saana. Kumbuka ni model ya 94.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…