Rav 4 vs Vanguard na Kruger vs Harrier ndo kazi ipo hapa

Napeda magali brother. Sijui kama ni vubaya.ila nimeelesea tu vile naona inafaa.gari nyigine napalk homu nyigine nakujia nayo kazini.sorrry kama nimekuuzi.
Kwa uandishi huu, wewe hata baiskeli ya miti huna..... [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona tatizo yoyote.kama harrier ni nyeusi kwa ninin unapata sida?mimi nimeadika ilivo weewe unatapa sida.why?

Hujanikosea ila Kuna tofauti Ipi kati ya nyeusi na rangi zingine.... Si ungeandika tu nina harrier basi....

Anyway hongera kwa kumiliki ndinga kalikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hii dunia bwana

Gari zote anazo,halafu hua anaziendesha,then ana turn around anatuuliza zina feel vipi ukizendesha tofauti zake?

What an irony?
 
Uza hivyo vyombo vya usafiri vya kijapani chukua gari. Jeep Cherokee au Discovery am sure utatamani always utembee barabara zenye mashimo maana ndo raha inaongezeka
 
Ungesoma ka akiri ugeelewa kinachoulizia.bona nimeadika wegine wameelewa kwa wepesi tu.

Hii dunia bwana

Gari zote anazo,halafu hua anaziendesha,then ana turn around anatuuliza zina feel vipi ukizendesha tofauti zake?

What an irony?
 
Ungesoma ka akiri ugeelewa kinachoulizia.bona nimeadika wegine wameelewa kwa wepesi tu.
Please ongeza maarifa yako ya Kiswahili naona yapo ICU.

Pili,walivyoelewa wao ni tofauti na nilivyoelewa mimi,sio lazima tuelewe kwa lenses zao wao.

Another thing,mimi nina akili yangu pia,ulichoandika ni oxymoronic,maana majibu unayo maana hayo magari unayo na unaendesha kila siku.

Halafu,kama umesahau,kuna uzi wa kiduwanzi sana uliuleta asubuhi umefutwa maana ni wa IQ ya chooni.

Again,uzi huu japo ni wa magari na unaelekea kua na sense ila ukiyumbisha pia utafutiliwa mbali.

Goodluck.
 
Bora ni ile ambayo unaendesha huku ukikwepa mashimo, ukiipeleka tu mwenye mashimo na mashimo yanakurudishia majibu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ