Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha hamna?Habari zenu wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada,Katika pita pita zangu kwenye nyuzi kadhaa humu JamiiForums nimeona wadau wengi waki toa ushauri kwa watu kadha wa kadha kuhusiana na matoleo tofauti tofauti ya gari hii pendwaa kwa wale watu wa lile kabila litokalo kaskazini mwa nchi yetu ya Tanzania,
Mwaka 2019 nilifanikiwa kufungua savings account lengo kuu ilikua ni kudunduliza vi chenji chenji vyangu ili ifikapo 2022 niwe nimekusanya pesa yakutosha kuweza kununua hii gari kwa kuagiza ikiwa "used from Japan"Nikaanzaw kusoma soma kodogo maelezo kuhusu hii gari mitandaoni vitu vichache nilivyo jifunza ni kama Mwaka hii gari ilipoanza kutengenezwa yani kuanzia mwaka 1995-2000 zikiwa offerd katika manual na automatic transmission's zenye drive terrain 2 tofauti yani zenye 4wd na zenye Front wheel drive zote kwa pamoja zikiwa na engine ya cc2000 na engine codes za aina mbili tofauti yani moja yenye engine code ya 3SGE ambayo ni perfomance engine inayokua na turbo pia kama sikosei hizi mara nyingi hua ni zile rav 4 zinazo kuja na body kits na hua ziko labled kama Rav4 Aero Sports masokoni Japana na nyingine ni ile yenye engine code inayoishiwa na fe yani 3SFE ambayo ni straigh work horse naturaly aspirated engine haina turbo,zote mbili zikiwa katika option ya short wheel base(3doors)pamoja na long wheel base(5doors) straight from the factory.Lengo kuu lililonifanyala mimi kuhitaji hii gari ni kutokana na mazingira ya ninapoishi kuzungukwa na milima,mabonde makali pamoja na tope zito mvua inaponyesha.....ya mazingira yangu ya kazi ni kusafiri mara kwa mara kwenda mikoani hasa maeneo ya porini,Sasa nimejibana niwezavyo ila bado sijaweza kufikisha kiasi cha pesa kinacho hitajika kuweza kununua hii gari kutoka Japan,Juzi nikawa napita pita pita kwenye tovuti tofauti tofauti za makampuni makubwa yanayo jihusisha na uzaji wa magari kutoka Japan nilifanikiwa kuona gari kadhaa ndogo ndogo hizi za chini almaarufu kama "baby walker"Na kupata gari chache zinlizoko ndani ya budget ya pesa kidogo niliyo nayo,ambazo ni Toyota passo,Toyota Duet and the likes,pick of the bunch ikiwa ni Toyota vitz old model ile ya kuanzia 1999-2004 "nadhani",Ambayo kiuhalisia haito kidhi mahitaji yanugu.kulingana na aina ya Terraine itapokua ikitumika,,Sasa juzi kuna wazo lilinijia kua nijaribu kutafuta hii gari kwenye used market ya hapa Bongo yani hizi gari zilizotumika na waswahili wenzetu hapa hapa nchini,Maana kuna kipindi nilisoma comment za wadau kadhaa humu wakisifia ubora na uimara wa hizi gari kwamba hata kama utainunua kwenye hili soko letu la used cars lililojaa magari yaliyo chakachuliwa,na kua poorly maintained and badly abused na wamiliki wake waliopita,,,,,Nakaribisha mawazo yenu ya namna naweza pata gari tajwa hapo juu ambayo hata kama itakua na faults basi walau ziwe zenye kurekebishika kwa bei za kizalendo,Itayo nipa walau miaka mitatu mingine ikiwa katika road worthy condition,,
Picha hamna?
kweli chief inabidi niedit hicho kipengele🙏Kwanini kichwa cha uzi usingeandika jina halisi la hiyo gari mkuu.
Umeliita hivo kulingana na mnavoliita huko kwenu kilimanjaro, kuna watu hata hawajui kua linaitwa masawe.
Duh sijui kuandika lkn wew ujui kbsa [emoji817]
Wewe unaongoza kutojua kuandika humu na hakuna wa kukuvua taji never everDuh sijui kuandika lkn wew ujui kbsa [emoji817]
Nimejaribu kuuremba bro angalia tena
Elimu muhimu sana ,wasilisha hoja vizuri upate kueleweka ...Elimu za mchongo zitawamaliza hata kuandika hujui.
Kuna Nissan Ngoyai 😀Aisee, mara kuna Prado mchaga, Benz machame, Mkonge rombo...daah!
Haya bhana ngoja wataalam wa Rav4 Massawe waje...
Kama kuna toleo la Vanguard Swai nijuzwe niangalie linalowezekana!
Nataka kujua pia matatizo yake
Mimi niliagiza toka huko, ina mwaka tuu na miezi kadhaa.Nawewe uko katika harakati za kusaka chombo ya kuendea moshi boss?
Kuna Nissan Ngoyai [emoji3]