Rav4 Massawe, vipi vya kuzingatia kuinunua mkononi?

Rav4 Massawe, vipi vya kuzingatia kuinunua mkononi?

Kununua gari Toyota Rav4 1995-2000 iliyotumika Bongo

  • Ni gari imara hata zikiwa used huwa hazina tatizo

    Votes: 1 20.0%
  • Zinasumbua, gari zote zilizopita mikononi mbongo hua hazifai

    Votes: 1 20.0%
  • Kupoteza pesa,bora ujichange uagize kutoka Japan

    Votes: 3 60.0%
  • ukifanya Service kubwa na ukubadili badhi ya vifaa itakusogez

    Votes: 2 40.0%

  • Total voters
    5
Mkuu massawe ni gari ngumu hasa kama ulipo hakuna lami lakini kinakula wese sana,

Massawe mwenye 3s nadhani atakupa 9km/l kama sijakosea, kwaiyo itabidi ujipange kwenye wese mkuu.
 
Shida kubwa ya hizi gari ni kuweka "matege" haina dawa.
Ushauri mtafute fundi akusaidie kukagua gari utalia gari sio nyanya.
 
Shida kubwa ya hizi gari ni kuweka "matege" haina dawa.
Ushauri mtafute fundi akusaidie kukagua gari utalia gari sio nyanya.
Inamaana hata kununua set mpya ya miguu Og hua haitibu hili chief ?😥
 
Mkuu massawe ni gari ngumu hasa kama ulipo hakuna lami lakini kinakula wese sana,

Massawe mwenye 3s nadhani atakupa 9km/l kama sijakosea, kwaiyo itabidi ujipange kwenye wese mkuu.
Sasa kwa gari iliyokwisha tumika hapa bongo kama ninayotaka kununua si itakua inakula zaidi?
 
Back
Top Bottom