Rav4 Massawe, vipi vya kuzingatia kuinunua mkononi?

Kununua gari Toyota Rav4 1995-2000 iliyotumika Bongo

  • Ni gari imara hata zikiwa used huwa hazina tatizo

    Votes: 1 20.0%
  • Zinasumbua, gari zote zilizopita mikononi mbongo hua hazifai

    Votes: 1 20.0%
  • Kupoteza pesa,bora ujichange uagize kutoka Japan

    Votes: 3 60.0%
  • ukifanya Service kubwa na ukubadili badhi ya vifaa itakusogez

    Votes: 2 40.0%

  • Total voters
    5

A.Ngindo

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
276
Reaction score
101
Habari zenu wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada naomba maelezo kuhusu kununua gari hiyo pichani yaani rav4 1995-2000 mkononi (used)uliyotumika hapa Tanzania ni vitu vipi vya kuzingatia, Budget ni mil 7
 

Attachments

  • images (60).jpeg
    51 KB · Views: 40
  • images (63).jpeg
    47.2 KB · Views: 36
Picha hamna?
 
Kwanini kichwa cha uzi usingeandika jina halisi la hiyo gari mkuu.

Umeliita hivo kulingana na mnavoliita huko kwenu kilimanjaro, kuna watu hata hawajui kua linaitwa masawe.
kweli chief inabidi niedit hicho kipengele🙏
 
Shida ya watu wa Bush. Yaani wanaita magari vile wanavyoita huko kwao wanakuja kutuuliza na sisi wa mjini wakidhani ndo toka Japan gari zinaitwa hivyo. Hapo utakuta kijijini kwao aliyenunua anaitwa Massawe basi ndo wanaamini ndo jina la gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…