binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 11,201 Reaction score 28,642 Nov 14, 2022 #21 Mzee Kigogo said: Nissan Edward Click to expand... Nissan Edward Ngoyai Lowassa. π
whiteskunk JF-Expert Member Joined Jul 24, 2021 Posts 3,904 Reaction score 9,342 Nov 14, 2022 #22 Mkuu massawe ni gari ngumu hasa kama ulipo hakuna lami lakini kinakula wese sana, Massawe mwenye 3s nadhani atakupa 9km/l kama sijakosea, kwaiyo itabidi ujipange kwenye wese mkuu.
Mkuu massawe ni gari ngumu hasa kama ulipo hakuna lami lakini kinakula wese sana, Massawe mwenye 3s nadhani atakupa 9km/l kama sijakosea, kwaiyo itabidi ujipange kwenye wese mkuu.
Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 7,781 Reaction score 6,966 Nov 15, 2022 #23 Shida kubwa ya hizi gari ni kuweka "matege" haina dawa. Ushauri mtafute fundi akusaidie kukagua gari utalia gari sio nyanya.
Shida kubwa ya hizi gari ni kuweka "matege" haina dawa. Ushauri mtafute fundi akusaidie kukagua gari utalia gari sio nyanya.
A A.Ngindo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 276 Reaction score 101 Nov 15, 2022 Thread starter #24 Chivundu said: Shida kubwa ya hizi gari ni kuweka "matege" haina dawa. Ushauri mtafute fundi akusaidie kukagua gari utalia gari sio nyanya. Click to expand... Inamaana hata kununua set mpya ya miguu Og hua haitibu hili chief ?π₯
Chivundu said: Shida kubwa ya hizi gari ni kuweka "matege" haina dawa. Ushauri mtafute fundi akusaidie kukagua gari utalia gari sio nyanya. Click to expand... Inamaana hata kununua set mpya ya miguu Og hua haitibu hili chief ?π₯
A A.Ngindo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 276 Reaction score 101 Nov 15, 2022 Thread starter #25 whiteskunk said: Mkuu massawe ni gari ngumu hasa kama ulipo hakuna lami lakini kinakula wese sana, Massawe mwenye 3s nadhani atakupa 9km/l kama sijakosea, kwaiyo itabidi ujipange kwenye wese mkuu. Click to expand... Sasa kwa gari iliyokwisha tumika hapa bongo kama ninayotaka kununua si itakua inakula zaidi?
whiteskunk said: Mkuu massawe ni gari ngumu hasa kama ulipo hakuna lami lakini kinakula wese sana, Massawe mwenye 3s nadhani atakupa 9km/l kama sijakosea, kwaiyo itabidi ujipange kwenye wese mkuu. Click to expand... Sasa kwa gari iliyokwisha tumika hapa bongo kama ninayotaka kununua si itakua inakula zaidi?