Hujajibu swali.. Ulichoweza ni kutoa kejeli zisokuwa na msingiKama mtaalam wa magari utajua ila kama unajifunza basi endelea utafikia level hiyo
Ni Kweli Kabisa Mkuu...sema Wadada Wengi wanapenda Harrier hybrid sijui Kwanini....zamani walikuwa wanapenda Sana Rav 4.Hizi Hybrid zinachangamoto ya design. Body na Dashboard hazidumu sana kama 1st Generations
Bora umesema ukweli,Jamani
Sina gari na sitarajii na sina utaalamu wa magri.
Nachangia kama mtazamaji.
Ebwana Rav4 hizi model mpya za milioni 35 - 42 ziko vizuri.
Wadada walivyoumbwa wanapendaga vitu vinavyovutia lakini visivyodumu wala visivyo na tija. Hata wanaume wanataka handsome bila kujua uwezo wake wa kumtosheleza, kumudu Majukumu ya familia.Rav4 old model manual gear ni gari nzuri zaidi na ya kudumu kwa muda mrefu
Nilidhani kuwa angeuliza anayehitahi wewe mpitaji tuu so pitaHujajibu swali.. Ulichoweza ni kutoa kejeli zisokuwa na msingi
Nakubaliana na wewe mkuuRav4 old model manual gear ni gari nzuri zaidi na ya kudumu kwa muda mrefu
gari gani hii?
Toyota harrier new model 2014gari gani hii?
Bora umesema ukweli,
Wewe ni mwanaume wa kwanza usie na gari humu,
Wengine wote wana magari