RAV4 vs Harrier

RAV4 vs Harrier

Mkuu Hebu Tutafute picha,nami Natafuta Picha ya Vanguard na Harrier hybrid tuweke hapa Mkuu
F97EBB1E-2CF4-4670-A712-6DA1669872E9.jpeg

Hiyo 2nd.

626C0D20-6D2C-419B-A7D2-C4E60649DABF.jpeg

D7DDB163-9068-4B03-9D15-BAA2FB1982E3.jpeg
Hybrid

5103BEF4-8CE1-4D1D-92C4-3C1F6F43DF25.jpeg
F97EBB1E-2CF4-4670-A712-6DA1669872E9.jpeg626C0D20-6D2C-419B-A7D2-C4E60649DABF.jpegD7DDB163-9068-4B03-9D15-BAA2FB1982E3.jpeg5103BEF4-8CE1-4D1D-92C4-3C1F6F43DF25.jpeg

FF3964B2-9811-4ED8-B38B-5A826ED91C5B.jpeg

RAV4 Kilitime
 
Hizi Hybrid zinachangamoto ya design. Body na Dashboard hazidumu sana kama 1st Generations
Ni Kweli Kabisa Mkuu...sema Wadada Wengi wanapenda Harrier hybrid sijui Kwanini....zamani walikuwa wanapenda Sana Rav 4.
 
Rav4 old model manual gear ni gari nzuri zaidi na ya kudumu kwa muda mrefu
 
Jamani

Sina gari na sitarajii na sina utaalamu wa magri.

Nachangia kama mtazamaji.

Ebwana Rav4 hizi model mpya za milioni 35 - 42 ziko vizuri.
Bora umesema ukweli,
Wewe ni mwanaume wa kwanza usie na gari humu,
Wengine wote wana magari
 
Rav4 old model manual gear ni gari nzuri zaidi na ya kudumu kwa muda mrefu
Wadada walivyoumbwa wanapendaga vitu vinavyovutia lakini visivyodumu wala visivyo na tija. Hata wanaume wanataka handsome bila kujua uwezo wake wa kumtosheleza, kumudu Majukumu ya familia.

Wanapenda Mume Mwenye Hela, bila kujua amezipataje au hizo hela zitadumu kwa muda gani.

Wanapenda mambo ya haraka haraka....
 
Kwa ugumu rav4 sawa, ila kwa kuchangamka barabarani karibu kwenye ulimwengu Wetu wa harrier 240G vvti
 
Back
Top Bottom