Raw foods

Raw foods

Rolandi

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2006
Posts
919
Reaction score
490
Kuna raw foods "movement" duniani, yaani jamaa wanaokula vyakula visivyopikwa. Kuna mwenye experience hiyo humu jf atielezee faida zake?
 
ni balaa kiongozi ila kuna kumbi kumbi wengine ukiwala unakua kiziwi hasa wale wadogo saana ili unalijua

Hahahaha nimecheka hivi kumbi kumbi si ndo wale wadudu wa mvua wanapenda taa?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hivi ipo hiyo ?

Wachina utawaweza bibi ndio zao hizo ila vyakula vyao vingi healthy hawali sana mafuta

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
I love sushi, naweza sema ni my favorite......,
Ingawa wanatumia mchele uliopikwa (wali) but the remainings are raw......., tuna, salmon, prawns, fish eggs......... kila kitu raw........ kunibandua hapo huwa ni kivumbi
 
Raw tuna! Wanaweka spices gani?
 
Nipo mgahawani nakunywa juice ya sumu ya nyoka, kitu kinashuka taratiiiiibu.
3667.jpg
 
I love sushi, naweza sema ni my favorite......,
Ingawa wanatumia mchele uliopikwa (wali) but the remainings are raw......., tuna, salmon, prawns, fish eggs......... kila kitu raw........ kunibandua hapo huwa ni kivumbi

Sijawahigi kuyapenda hayo mashusi, sijui yanatasteije. Hongera yako asee.
 
Back
Top Bottom