warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Msanii wa long time kwenye anga la filamu Bongo , Vincent Kigosi Ray amefungukia sababu za kutooa licha ya kwamba umri umekwenda .
Akizungumza na Ijumaa katika mahojiano maalum , Ray alisema amekuwa akipangua mawazo ya kuoa kila wakati kutokana na ugumu wa kumpata mwanamke ambaye hatampa stress kama zinazowapata baadhi ya watu.Alisema , kwa kuwa suala la kuoa ni jambo nyeti , halihitaji kukurupuka na hicho ndicho kimemfanya mpaka leo asiingie kwenye maisha ya ndoa .
Unajua hili suala la ndoa ni sensitive nyeti sana , halihitaji kukurupuka, linakutaka ukiingia kwenye uhusiano umchunguze vizuri huyo uliyempata ili kujiaminisha kwamba , hatakusumbua .Hilo ndilo linalonifanya niwe singo mpaka leo , najua wengi wananishangaa lakini kwa kifupi ugumu wa kumpata mweza sahihi ndiyo sababu ya kutooa mpaka leo , alisema Ray .
Alipoulizwa kwamba , ina maana kwa wapenzi wake waliopita wakiwemo Ruth Suka Mainda , Blandina Chagula Johari na Hans Chuchu hakuna aliyeona anafaa kuwa mke, msanii huyo alicheka sana kisha akasema: Wewee, acha mambo yako .