Amini amini nakwambia hakuna filamu.
Atakuwa alikuwa anarekodi filamu mpya.
wananunua mkuu.......................hata wewe ukiwa nayo watupie itatoka na utashikishwaMagazeti ya Udaku bana!
Hivi wao peke yao ndio hupataa taarifa hizi?
Hivi jamani aliyesema kuoa ni dhambi ni nani?......Ni vyema tukakumbuka kuwa aliyeanzisha suala la kuoana hakuwa mjinga........
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa wasani maarufu kuwadanganya watoto wadogo kupitia umaarufu wao na hatimaye kuwatumia kimapenzi kwa manufaa yao binafsi........
Alianza kanumba na Lulu.....Ni ukweli usiopingika kuwa Lulu na Kanumba zilikuwa AGE mbili ambazo haziendani kabisa.Kanumba amchukua yule binti na wenzake kwa lengo la kumsaidia na kuimarisha kipaji chake...
Matokeo yake akamgeuza kuwa mpenzi wake, akamharibia ndoto zake za maisha, na hatimaye leo hii ananyea ndoo Rumande.......Hii ni dhambi.
Leo hii tunaona RAY naye bado anaendekeza uchafu ule ule.....
NADHANI ANATAFUTA KIFO.NASEMA HIVYO KWA SABABU YALIYO MKUTA STEVEN KANUMBA NI FUNDISHO TOSHA KWA WASANII WA HAPA NCHINI
Kwani Ray kuwafilimba watoto wa shule kaanza leo?
Binafsi ukileta habari ambayo source ni magazeti ya jikoni nashindwa kuamini maana ni upuuzi mtupu ivi hii picha ni ya fumanizi kwl aaaagggrr mnafanywa wajinga eti maana toleo lijalo Ray atahojiwa alafu atasema ni movie mpya inaitwa MY STUDENT inakera kwl.
Hahahaha..umeniacha hoi.eti my student.hahahahahaha umenifanya nicheke kwa laudi spika et MY STUDENT hahahahaha