"Ray" afumwa na mwanafunzi wakiwa uchi wa mnyama nyumbani kwake

"Ray" afumwa na mwanafunzi wakiwa uchi wa mnyama nyumbani kwake

TOLEO linalofuata litasomeka hivi:
Tunaomba radhi wapenzi wote wa gazeti la Kiu, 'Mh.Lay' na familia zao kwa picha iliyowekwa kwenye gazeti hili wiki iliyopita. Fundi mitambo wetu alichanganya picha na hivyo picha na habari zilizochapishwa vilihusiana na scene ya movi ya Lay ambayo bado ipo jikoni.
Tunasisitiza habari na picha hiyo haviusiani na tukio la kweli bali ni igizo tu. KAMILIONI ametukomfyuzi!

Uongozi wa Global Publisher.
 
hili fumanizi la pozi kiasi hiki limetoka wapi? mie nina mashaka japo simtetei mtu!
 
Atakuwa alikuwa anarekodi filamu mpya.


Nilitaka kusema hivyohivyo, kama vipi huyu aliyeleta story hii atuwekee habari yote tuisome, haya magazeti ni ya kipumbavu sana kwa kiwango kikubwa, no wonder walengwa ni walewale walionyimwa/waliokosa fursa ya elimu.
 
jamani tuwe wakweli hili ni pozi la kufumaniwa?


Hivi jamani aliyesema kuoa ni dhambi ni nani?......Ni vyema tukakumbuka kuwa aliyeanzisha suala la kuoana hakuwa mjinga........


Imekuwa ni jambo la kawaida kwa wasani maarufu kuwadanganya watoto wadogo kupitia umaarufu wao na hatimaye kuwatumia kimapenzi kwa manufaa yao binafsi........


Alianza kanumba na Lulu.....Ni ukweli usiopingika kuwa Lulu na Kanumba zilikuwa AGE mbili ambazo haziendani kabisa.Kanumba amchukua yule binti na wenzake kwa lengo la kumsaidia na kuimarisha kipaji chake...


Matokeo yake akamgeuza kuwa mpenzi wake, akamharibia ndoto zake za maisha, na hatimaye leo hii ananyea ndoo Rumande.......Hii ni dhambi.


Leo hii tunaona RAY naye bado anaendekeza uchafu ule ule.....


NADHANI ANATAFUTA KIFO.NASEMA HIVYO KWA SABABU YALIYO MKUTA STEVEN KANUMBA NI FUNDISHO TOSHA KWA WASANII WA HAPA NCHINI
 
Nadhani hii ni Movie ilikua inarekodiwa... waandishi wa kibongo ni makajanja sana nakumbuka kuna movie alicheza yule mwanamuziki wa Marekani Sisqo yupo uchi anakimbia na kitoto kidogo polini ikaja ikaandikwa kua Sisqo alikua anashughulikiwa na kile kitoto bahati nzuri ile movie niliiona nikajua haya magazeti ya udaku hayana maana.. hiyo movie siikumbuki vizuri labda ni Get Over it sina uhakika sana
 
Ukitizama kwa makini hiyo picha utakubaliana nami ni "Photoshop Effect"..... Halafu mwenye haya Magazeti eti anadai kuwa ni Mlokole.
 
Binafsi ukileta habari ambayo source ni magazeti ya jikoni nashindwa kuamini maana ni upuuzi mtupu ivi hii picha ni ya fumanizi kwl aaaagggrr mnafanywa wajinga eti maana toleo lijalo Ray atahojiwa alafu atasema ni movie mpya inaitwa MY STUDENT inakera kwl.
 
Binafsi ukileta habari ambayo source ni magazeti ya jikoni nashindwa kuamini maana ni upuuzi mtupu ivi hii picha ni ya fumanizi kwl aaaagggrr mnafanywa wajinga eti maana toleo lijalo Ray atahojiwa alafu atasema ni movie mpya inaitwa MY STUDENT inakera kwl.

hahahahahaha umenifanya nicheke kwa laudi spika et MY STUDENT hahahahaha
 
this is a man made story! sio kweli kabisa!

hio picha haijakaa kifumanizi!! tusidanganyane..

hivi kweli ufumaniwe ama ukutwe na mtu chumbani uchi wa mnyama, utakuwa na discussion ya kuweka poz upigwe picha?

yani kabisa mpaka wametabasam! hao wamefumaniwa au wamejifotoa tu wenyewe? halafu ukifuatilia kiundani utaambiwa tulikuwa location tunashuti movie inayohusu wanafunzi wanaotoka na watu wazima.. bul.lshit!
 
hahahahahaha umenifanya nicheke kwa laudi spika et MY STUDENT hahahahaha
Hahahaha..umeniacha hoi.eti my student.
Unajua sa zingine wa tz wenyewe kwa wenyewe tunazalilishana na kuonwa wajinga.
Kuna fumanizi la sampuli iyo kweli? Kuweka poz nakupigwa picha kuonyesha mtu kua pic ya fumaniz.cjui labda mjinga...
Na ray kama ndo maswala ya cash kwa habari za kutunga.kwanini asingevaa uucka kwa kutumia kipaj chake cha uigizaji.
 
Back
Top Bottom