Ray ageuka mbogo baada ya kuhusishwa na kifo cha kanumba.......amsweka ndani mmiliki wa u-turn

Ray ageuka mbogo baada ya kuhusishwa na kifo cha kanumba.......amsweka ndani mmiliki wa u-turn

Huyo dada ameiandika hiyo habari kishabiki na kubase upande mmoja, hata aliyemgumu kuelewa anaelewa kuwa anamaanisha Ray amehusika moja kwa moja. Swala la kusimamia eti kapiga picha kabla hajafa au angeita sijui 999 hiyo ni gut ya mtu na sasa nikawaida sana kutokulia mpendwa wako akifa hata kama hukutegemea yaani haimaanishi umefurahia kifo. Huyo dada anastahili kufunzwa na dunia maana anachotaka kufanya ni mauaji.

Unajua tetesi zinazotolewa na magazeti ya udaku zimekaa kidaku lakini pitia vizuri alivyoandika huyu dada amemaanisha kapata data kutoka kwenye chanzo tena polisi, kwa mtanzania wa leo ukimwambia hivyo atachukuliaje?

mwenzangu..ya ngoswe mwachie ngoswe
 
Ukishangaa ya wema dimond shangaa na ya MANGE KIMAVI WA U TURN.yule member wa jf UHURU yuko wapi aje aututolee shombo la Kimavi humu ndani maana ndiye kiboko ya Mange Kimavi
 
wadau simfahamu huyo mwenye u turn lakin kwa kupitia comment zake ni wazi anatafuta publicity o cheap popularity period
 
She spoke her mind, and ts her constitutional right, bt timing ts nt perfect, speculation and stupid theories t may lead to violenc jaman, iv wa2 wakmvamia Ray na kumjeruh, 4 jst hypothesis frm Mange mtafurah???
Ray he's nt zat clever, anampa promo huyu dada, angeenda nae kimyakmya, blv me, nlkua simjui, ndo nimemjua nw...othr pipo their ready to earn cheap popularity 4 any cost, dats Her.
hiyo miaka mi 3 utafungwa wewe, kumbuka mjinga akiwazach ndicho kimtokeacho
 
kumbe dada wa watu anamawazo mazuri tu... na kwenye picha hapo mbona sioni u ugly wowote. she is cute, has a family and sound educated/exposed...hongera dada! nimejaribu kuchungulia bulogu yako inayo jadiliwa sana humu jamvini lakini sijaweza kui access.
she is determined, bt timing was'nt perfect, afu dat news got hasara nyng kulko faida'
 
Unajua ukisoma bible damu inanena

Wataongea mengi Malibu Upo siku ukweli utatimilika
 
Back
Top Bottom