Huyo binadamu wa kwanza alitokeaje? Na kwakuwa alikuwa peke yake tuliongezekaje mpaka kuwa mabilioni?Fuvu la kichwa la binadam wa kwanza liligunduliwa wapi?
Hapana huyu si mchekeshaji tu, huyu ni mkenya wa olduvai.Wewe ni mchekeshaji?
haswaaaaaa hahahahaHii ndio raha ya kuzaliwa tanzania
Hata sis ma dr huu ugonjwa hatuuwez mpeleken kwa gwajimaHapa nafikiri nimeingia mirembe, ngoja niwasubiri madaktari waje
Muigizaji mkongwe Ray ameleta mapinduz kwenye mkorogo baada jana MH DR.JOHN POMBE MAGUFURI kukubali SUDAN KUSINI KUJIUNGA EACmh nape nnauye amekubali kuboresha maisha ya wasanii akipeleka kilo kumi za mchele kituo cha kulelea watoto yatima huku akikataa katu wasira kumdhihaki mh makamba jana belle 9 amekana kumtukana diamond kwenye ngoma ya harmonize ft diamond BADO yapata views wengi sana pasipokutarajiwa dr slaa afunga ndoa na mkewe nchini canada hali ya hewa kwa sasa ni ya baridi sana ukilinganisha na marekani jana wamefanya uchaguzi wa vyama katika majimbo mbalimbali Rais magufuri alitembelea kipindi cha kampeni watu tulipiga pesa ya Nyerere inaua wengi jamani......
Fuvu la kichwa la binadam wa kwanza liligunduliwa wapi?
Umekosea ni MauritiusKENYA
Machakos huko kenyaFuvu la kichwa la binadam wa kwanza liligunduliwa wapi?
Kwa Gwajima hakuitaji barua ya rufaa?Hata sis ma dr huu ugonjwa hatuuwez mpeleken kwa gwajima
Umekosea ni Mauritius
Hapana hata yeye hajui ngoja tukamuulize MulongoAcha ubishi mkuu! Fuvu hilo liligundulika Olduvai Gorge huko KENYA.
Kama unabisha tumuulize Rosemary Odinga sasa hivi.
PseudomonasAcha ubishi mkuu! Fuvu hilo liligundulika Olduvai Gorge huko KENYA.
Kama unabisha tumuulize Rosemary Odinga sasa hivi.
Self referal inatosha labda wa kukufunga kamba njianKwa Gwajima hakuitaji barua ya rufaa?